• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Ustawi wa Jamii
    • Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

King'ang'a watakiwa kuchangia maendeleo

Tarehe iliyowekwa: July 3rd, 2019

Wananchi wa King’ang’a wametakiwa kujitoa kwa kuchangia miradi ya maendeleo ili kuunga mkono juhudi za serikali zinazofanywa katika eneo lao.

Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Msoleni Dakawa alipokuwa akiongea na wajumbe wa kamati ya ujenzi katika Shule ya Msingi King’ang’a wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika kata mbalimbali za halmashauri ya mji.

Alisema kuwa katika maeneo yote aliyopita yenye miradi ya ujenzi wa madarasa wananchi wa eneo hilo ndio ambao wako nyuma sana katika kuchangia nguvu za wananchi hali inayowavunja moyo viongozi kuendelea kuwapelekea miradi jambo ambalo litawaumiza wananchi.

“Mna bahati sana wananchi wa hapa mmepata bahati ya kuletewa fedha za kutekeleza miradi ya ujenzi wa madarasa ya kisasa na vyoo lakini wananchi hawachangii chochote kuunga mkono jitihada hizo kumbukeni kuwa kwa kufanya hivyo ni kuvidhulumu vizazi vyenu viliyopo na vijavyo.”Alisema Mkurugenzi Dakawa.

Aliendelea kuwaeleza kuwa wanapochangia maendeleo na kuboresha miundombinu ndipo wanapoongeza pia kiwango cha ufaulu kwani wanafunzi wanakuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia na walimu mazingira mazuri ya kufundishia.

Kwa upande wake Afisa Mipango wa Halmashauri ya Mji Kondoa Amani Kaunga aliwasihi wananchi wa King’ang’a kuwa na uchungu na maendeleo ya eneo lao na kuachana na migogoro isiyokuwa na tija kwani inawapotezea muda wa kufanya shughuli za maendeleo

Shule ya Msingi King’ang’a ni moja ya shule iliyopatiwa fedha zaidi ya shilingi milioni 70 kutoka serikali kuu kwaajili ya umaliziaji na wa madarasa manne, ofisi ya walimu na vyoo vya wanafunzi.

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa la saba 2019 Kondoa Mji October 15, 2019
  • Tangazo la kulipia kodi ya viwanja June 17, 2019
  • Matokeo ya Kidato cha sita 2019 July 11, 2019
  • Waliochaguliwa kidato cha tano awamu ya pili August 29, 2019
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • RC Mahenge azitaka Halmashauri kutatua kero za walemavu kufikia Machi 2020

    December 03, 2019
  • Wenyeviti wa Mitaa watakiwa kuwatumikia wananchi

    November 30, 2019
  • Kondoa Islamic wapewa kongole kuinua taaluma

    November 22, 2019
  • Waaswa kuwapeleka watoto kupata chanjo

    October 18, 2019
  • Tazama Vyote

Video

Fursa za uwekezaji Kondoa Mji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Chemchem Kondoa Mjini

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: info@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa