• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

IJUE NA ITEMBELEE TOVUTI YA HALMASHAURI YA MJI KONDOA

08 October 2017

Tovuti ya Halmashauri yetu ilizinduliwa rasmi Tarehe 27 Mwezi 03 Mwaka 2017

MALENGO YA KUANZISHA TOVUTI:        

 

  • Kukuwezesha kuijua Halmashauri yako kwa undani zaidi: historia na majukumu yake, muundo, n.k   
  • Kukuhabarisha/kukujuza kuhusu miradi, bajeti (mapato na matumizi) na matukio mbalimbali
  • Kukuelimisha kuhusu sera, sheria, kanuni, taratibu, n.k.
  • Kukupunguzia usumbufu na gharama za kufuata baadhi ya huduma kutoka ofisi za halmashauri
  • Njia rahisi kwako ya kutoa mrejesho kwetu kuhusu huduma tunazotoa kwa wananchi

 

MWONEKANO WA TOVUTI

 

Hivi ndivyo tovuti yetu inavyoonekana (weka nembo ya Halmashauri yako):

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania         

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

 

Halmashauri ya Mji Kondoa

 

 

 



Mwanzo    Kuhusu sisi     Huduma     Utawala    Machapisho     Kituo cha Habari       Miradi 

NAMNA YA KUINGIA KWENYE TOVUTI YETU

 

Kwa kutumia kompyuta au simu ya kiganjani: Fungua mtandao, andika jina la halmashuri yako ikifuatiwa na hadhi yake (mf: mc, dc, tc) kisha weka nukta, andika go nukta kisha andika tz. Mfano: kondoatc.go.tz  halafu bofya utafungua tovuti ya Halmashauri ya Mji Kondoa. Ukitaka kufungua tovuti ya manispaa ya Dodoma andika dodomamc.go.tz kisha bofya.

 

ENDAPO MATARAJIO YA KUPATA TAARIFA/MAKALA HAYAKUKIDHIWA UFANYEJE? 

 

  • Tuambie kwa kupitia njia zilizoorodheshwa hapo chini (barua pepe, simu mezani/kiganjani)
  • Tusaidie tuboreshe maudhui na muundo wa taarifa zetu

 

KWA MAELEZO NA USHAURI ZAIDI WASILIANA NASI KWA NJIA ZIFUATAZO

 

  • Mtandao/Barua pepe              td@kondoatc.go.tz
  • Simu ya mezani                           0716024549

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • "Sintamzibia ruhusa mtumishi anayetaka kwenda masomoni"- Mkurugenzi Majaliwa

    June 01, 2025
  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa