• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Baraza la Madiwani lapitisha kukusanya shilingi bilioni 22.2 kwa mwaka wa fedha 2025/2026

Tarehe iliyowekwa: January 27th, 2025

Baraza la Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Mji Kondoa limepitisha mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kukusanya shilingi bilioni 22,268,656,964.31kutoka vyanzo vya ndani, ruzuku kutoka Serikali Kuu na Wahisani.

Mpango na bajeti huo umepitishwa katika kikao maalum cha Baraza la Waheshimiwa Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ambapo kimehudhuriwa pia na Kamati ya Usalama, Wakuu wa Idara na Vitengo na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za serikali na wananchi.

Akisoma mchanganuo wa makusanyo hayo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amesema katika makusanyo hayo shilingi bilioni 13,037,546,000 ni ruzuku ya Mishahara, Shilingi Bilioni 1,294,395,000 ni mapato mengineyo (OC) na shilingi bilioni 5,223,715,964.31 ni Ruzuku ya Maendeleo kutoka Serikali Kuu na Wahisani.

“Aidha Mheshimiwa Mwenyekiti pia Halmashauri imekadiria kukusanya shilingi bilioni 2,713,000,000 kutoka vyanzo vyake vya ndani ambapo katika makusanyo hayo shilingi milioni 773,000,000 ni mapato ya shughuli maalum (lindwa) na shilingi 1,940,000,000 ni mapato ya ndani,”amesema Mkurugenzi Majaliwa

Ameendelea kueleza kuwa bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 ina ongezeko la shilingi milioni 413,000,000 ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 na ongezeko hilo limekuja baada ya kubuni vyanzo vipya vya mapato.

“Mpango na bajeti hii umelenga kutekeleza vipaumbele vilivyoainishwa katika Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/2026 ambavyo nimegawanyika katika maeneo ya kubuni vyanzo vipya, kuendelea kumalizia miradi viporo,kuboresha  hifadhi ya Mazingira na Mipango Miji na kukuza usawa wa kijinsia na kuwezesha  makundi maalum,”amesisitiza Mkurugenzi Majaliwa.

Kwa upande wake mwakilishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ndg. Erick Mtikahela amepongeza maandalizi ya bajeti yaliyofanywa na Halmashauri na kushauri kuendelea kuongeza vyanzo kwa kuwa ni agizo la Serikali na kuhakikikisha wanafikia malengo waliyojiwekea mwaka 2024/2025.

Akifunga kikao hicho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge amewashauri Waheshimiwa Madiwani Kwenda kuhamasisha wananchi kuchangia nguvu zao katika kuanzisha miradi ya maendeleo ili fedha zitakazoletwa na Halmashauri ziweze kumalizia miradi hiyo.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa