• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Baraza wa Waheshimiwa Madiwani Kondoa Mji lajivunia mafanikio bila migogoro

Tarehe iliyowekwa: October 31st, 2024

Baraza la Halmashauri ya Mji Kondoa limejivunia mafanikio kwa kipindi cha miaka minne toka walipoingia madarakani kwa kutokuwepo kwa migogoro yoyote iliyozalishwa ikiwa ni pamoja na kujenga ya ushirikiano kati ya Halmashauri, wananchi na taasisi zingine zilizopo ndani ya Halmashauri ya Mji.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge wakati wa kikao cha baraza la Waheshimiwa Madiwani cha robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kilichofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji Kondoa.

“Halmashauri imepiga hatua sasa Waheshimiwa Madiwani twendeni tukasimamie changamoto ndogondogo zilizobakia tuakashirikiane na viongozi wengine wa Serikali za Mitaa watakaochaguliwa ili nao wajue ni wajibu wao kusimamia moja kwa moja majukumu ya wananchi ikiwemo kusimamia miradi ya maendeleo,”amesema Mhe. Kiberenge

Aidha amemshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri Ndg. Said Majaliwa na timu ya Menejimenti kwa kusimamia kwa karibu miradi ya maendeleo na kuhakikisha huduma stahiki inafika kwa wananchi na kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika kipindi kilichobakia kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 na kuepuka migongano isiyo na tija kati yao.

Akitoa salamu za mkoa Ndg. Erick amesema Halmashauri inapaswa kuendelea kusimamia suala la ukusanyaji wa mapato na kubuni vyanzo vipya kwa kuwa ndiyo yanayochangia halmashauri kujiendesha pamoja na kusimamia kanuni za utoaji wa mikopo unaotarajia kuanza hivi karibuni kwa kuepuka kufanya vitendo ambavyo vilisababisha mikopo hiyo ikasitishwa hapo awali.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amesema kuwa maagizo yote yaliyoyatolewa ameyapokea na kuahidi kuendelea kushirikiana na Menejimenti kuhakikisha kuwa wanafanya kazi kwa bidi zaidi na kukamilisha miradi kwa wakati na kukusanya mapato kama yalivyowekwa katika bajeti ya 2024/2025.

Baraza la Waheshimiwa Madiwani limekaa kwa ajili ya kujadili taarifa za kamati za kudumu za robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ambapo pia taarifa za Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini, Mamlaka ya Maji Mjini na Vijiji zilijadiliwa na limehudhuriwa pia na wakuu wa Idara na wananchi kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa