• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

CHONGOLO AWATAKA WAZAZI KUPELEKA WANAFUNZI SHULENI

Tarehe iliyowekwa: June 19th, 2023

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Comrade Daniel Chongolo amewataka wazazi wa Wilaya ya Kondoa kupeleka watoto wao shuleni kusoma kwa kuwa wana uwezo wa kufanya vizuri na kulisaidia taifa.

Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa  hadhara uliofanyika katika uwanja wa Stendi ya Zamani katika Halmashauri ya Mji Kondoa ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kutembelea mkoa wa Dodoma.

"Moja ya sifa ya nyie hapa Kondoa vijana wengi wana sifa ya kufanya vizuri kwenye namba yaani hesabu wanazijua kweli kweli wazuri pia kwenye uchumi kuanzia Mwenyekiti wenu wa mkoa, vijana wengi kichwa inachemka mkiwapeleka shule watakuwa na tija kwa nchi," amesema Ndg. Chongolo

Ameongeza kuwa wanakondoa wengi waliopelekwa shule ni viongozi wakubwa kwasasa ambao wapo kwenye kada mbalimbali ikiwemo jeshi la polisi, magereza na taasis za fedha na wengi wamekuwa wakifanya vizuri kazini kwa kuwa ni waaminifu.

"Watu wa Kondoa ni waaminifu ila watu wa Iringa tumewazidi kidogooo ila nawasihi uaminifu huo ugeuzeni kuwa bidhaa kwa kiwapeleka watoto wakapate elimu ili wakapate nafasi kubwa itakayokuwa na tija kwa familia na Kondoa kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kuwapeleka watoto wa kike shuleni"amesisitiza Ndg. Chongolo

Akiongea kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema mkoa umepokea shilingi bilioni 10.6 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya elimu lengo likiwa ni kuhakikisha kila mtoto anapata elimu.

"Tunamshukuru sana Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha hizo na sisi kama mkoa tutahakikisha madarasa yanakamilika kwa wakati na yanatoa huduma iliyokusudiwa kwa jamii,"amesema Mhe. Senyamule 

Awali Mbunge wa Kondoa Mjini Mhe. Ally Makoa amemshukuru Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa fedha zilizoletwa katika Halmashauri ya mji Kondoa katika sekta za afya, elimu, barabara, kilimo na mifugo kwa kuwa inaonyesha namna anavyowajali wanakondoa.

"Kero kubwa kubwa iliyobakia ambayo tunaomba utusaidie ni daraja linaloitwa Munguri B watu wanapata shida na ni kero kubwa sana serikali ilitenga milioni 650 kwa bajeti tunayoendelea nayo na bajeti mpya imetengwa milioni 150 fedha hiyo bado ni ndogo na daraja lina umuhimu mkubwa kwa kuwa inaunganisha mkoa kwa mkoa inatokea Tanga, Bicha hadi Hanang,"amesisitiza Mhe. Makoa

Katibu Mkuu wa CCM taifa yupo katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani katika mkoa wa Dodom ambapo amepata fursa ya kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya mkoa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa