• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Chuo Kikuu Mzumbe watoa elimu sheria za mazingira kwa Watendaji Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: June 13th, 2025

Chuo Kikuu Mzumbe kupitia kitengo cha msaada wa kisheria jana kimetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Mazingira wa Halmashauri ya mji Kondoa ili kuhakikisha wanapata kufahamu sheria za mazingira na namna ya utunzaji bora wa mazingira.

Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi mdogo uliopo katika ofisi za Halmashauri ya Mji Kondoa.

Akifungua mafunzo hayo Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Kondoa Ndg.Said Majaliwa amesema mafunzo hayo ni muhimu kwa watendaji wake kwani ni vizuri wakafahamu sheria mbalimbali za mazingira ili kurahisisha utendaji wa kazi.

Akiongea wakati wa mafunzo Mhadhiri Msaidizi Ndg. Claudi Kilonzo amesema kuwa kutokana na changamoto kubwa za mazingira ndio chanzo Cha wao kuanza kutoa elimu ya mazingira ili kuhakikisha mazingira yanakuwa bora muda wote.

"Kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ni ajenda kubwa ya Serikali, nawashukuru sana kwa kutuchagua Kondoa Mji kuja kutoa mafunzo haya ya kisheria kuhusu mazingira"

Maafisa hao wamejengewa uwezo wa namna ya kupambana na taka, namna ya utunzaji wa maeneo tengefu na vyanzo vya maji, Sheria zinazohusu mabadiliko ya tabia ya nchi, ukataji miti hovyo pamoja na ushirikishwaji wa jamii katika utunzaji wa mazingira.

Akiongea baada ya mafunzo Ndg. Aminaheri Mtambi ambaye ni Mtendaji wa Mtaa wa Maji ya Shamba amesema kuwa amejifunza umuhimu wa uhifadhi mazingira, kushirikiana na jamii katika namna ya uhifadhi na utunzaji wa mazingira pamoja na kutofautisha taka ngumu na taka nyepesi na namna ya kuziteketeza taka hizo.

Matangazo

  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Baraza Maalum Kondoa Mji lapitisha Sheria ndogo kuimarisha vyanzo vya mapato

    June 20, 2025
  • Chuo Kikuu Mzumbe watoa elimu sheria za mazingira kwa Watendaji Kondoa Mji

    June 13, 2025
  • Kondoa Mji wapongezwa kupata hati safi kwa mwaka 2023/2024

    June 10, 2025
  • "Sintamzibia ruhusa mtumishi anayetaka kwenda masomoni"- Mkurugenzi Majaliwa

    June 01, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa