• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Ustawi wa Jamii
    • Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC. Mkanachi awaasa wachukua taarifa anwani za makazi

Tarehe iliyowekwa: March 9th, 2022

.

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Dkt Hamis Mkananchi amewataka vijana waliochaguliwa kushiriki katika zoezi la  ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi na posti kodi kufanya kazi kwa umakini kwa kuwa wameaminiwa.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa  ufunguzi wa semina kwa wachukua taarifa wakati wa zoezi la anwani za makazi na posti kodi iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Bustani hivi karibuni.

“Tumewaamini tafadhali msituangushe nendeni mkafanyekazi hii kwa umakini na kila mtu atambue kuwa zoezi hililinahitaji uzalendo wa hali ya juu hivyo msikilize  kwa makini mafunzo haya mkiwa wasikivu, wepesi na kujitoa hakika zoezi hili litaisha hata kabla ya sikusaba”,amesema DC Mkanachi.

Dkt Mkanachi ameendelea kwa kusema kuwa  kila mtu kwa nafasi yake atimize wajibu wake ili kuhakikisha kuwa zoezi hili linafanikiwa  na kwamba wenyeviti na mabalozi wanapaswa kutoa ushirikiano kwa vijana watakaopita katika mitaa yao kuhakikisha kuwa wanakusanya taarifa za ukweli na kwa wakati kwa kufanya hivyo Halmashauriya Mji Kondoa itakuwa ya kwanza Kimkoa na hata Kitaifa.

“Niwashauri katika kufanya kazi hii tutangulize uzalendo kwanza alafu pesa ifuate lakini tukianza kuzungumza habari ya pesa na kazi bado haijaanza hii itakuwa ni aibu kubwa na mtakuwa hamjamtendea haki Mhe. Rais ambaye ameagiza zoezi hili lifanyike”,amesisitiza Dkt Mkanachi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya MjiKondoa Mhe. Mohamedi Kiberenge amewashauri vijana kuchukulia suala hili kwa uzito na kuhakikisha kuwa wanalikamilisha kwa muda waliopewa ili waendelee kuaminiwa kwa siku za usoni.

“Tumewaamini vijana kwa sababu ninyi ni nguvu kazi ya Taifa na kwasababu mnaweza na mna uthubutu hivyo nendeni mkafanye kazi kwa kuzingatia misingi na maadili ili kuweza kufanikisha kwa haraka lakini kikubwa zaidi shirikianeni na mkafanye kazi kwa umoja mwisho wa siku zoezi hili likalete matokeo chanya”,ameongeza Mhe. Kiberenge

Mafunzo kwa wachukua taarifa wakati wa zoezi la anuani za makazi na posti kodi kwa Halmashauri ya Mji Kondoa limefanyika ambapo yamedhuriwa na watendaji wa Kata, wenyeviti, Wakuu wa idara na Wahe. Madiwani




Matangazo

  • Tangazo la Mikopo ya Asilimia Kumi robo ya nne 2021/2022 May 06, 2022
  • Matokeo ya kidato cha sita Kondoa Girls 2021 July 10, 2021
  • Tangazo la kuomba mikopo ya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu robo ya kwanza 2021/2022 September 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha nne 2021 Halmashauri ya Mji Kondoa January 15, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • IPOSA kuwezesha vijana 400 Kondoa Mji

    April 09, 2022
  • DC. Mkanachi awaasa wachukua taarifa anwani za makazi

    March 09, 2022
  • "Tusimamie miradi kwa kesho inayong'ara" - Dkt. Mkanachi

    February 24, 2022
  • “Zoezi la Anwani za makazi liende sambamba na upimaji wa viwanja”- RC Mtaka

    February 23, 2022
  • Tazama Vyote

Video

Fursa za uwekezaji Kondoa Mji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa