• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Mkanachi awapongeza, awaonya Watendaji wa kata kusimamia lishe

Tarehe iliyowekwa: January 31st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Dkt. Khamis Mkanachi amewapongeza watendaji wa kata za Halmashauri ya Mji Kondoa waliofanya vizuri katika kusimamia masuala ya lishe katika maeneo yao huku akiwaonya watendaji wa kata zilizofanya vibaya kuboresha usimamizi wa masuala ya lishe kwa ukaribu.

Kauli hizo amezitoa wakati wa kikao cha tahmini ya lishe Halmashauri ya Mji Kondoa kujadili taarifa za kipindi cha Julai hadi Dsemba 2023 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji hivi karibuni.

“Kila Mtendaji ni msimamizi wa kila kitu kwenye kata yake kwa kushirikiana na watendaji wake wa mitaa hatuwezi kukubali kubakia nyuma kwenye baadhi ya vitu na tulishaweka mikakati ya pamoja nawaomba tuisimamie ili changamoto hizi zisijirudie kwani hatutaki kuona rangi nyekundu wala njano kwenye kadi alama yetu na tunaweza,”amesema Dkt. Mkanachi

Aidha amewataka watendaji hao wajipime pamoja na watendaji wao wa mitaa kwa kuhakikisha kila mtoto anapata chakula shuleni kwa kuendelea kutoa elimu na kuwahamasisha wazazi kuchangia chakula ambapo pia aliwaagiza Maafisa Tarafa kuandaa ratiba yake kwenda kuzungumza na wazazi wa wanafunzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa.

Hata hivyo aliwapongeza watendaji wa kata waliofanya vizuri kwa kipindi hicho tofauti na taarifa ya kipindi cha nyuma na kuwataka kwenda kufanyia kazi mapungufu yaliyoonekana katika taarifa zao walizowasilisha ili kila mtu awe na rangi ya kijani katika kadi alama ya kata yake.

Akiongea kwa niaba ya wengine Mtendaji wa Kata ya Kondoa Ndg. Samson Mtui ameomba radhi kwa kutofanya vizuri na kusema kuwa wameweka mpango mkakati wa kata kwa kushirikiana na wazazi ili kuhakikisha wanafunzi wote katika kata ya Kondoa Mjini wanapata chakula shuleni.

Kikao cha tathmini ya lishe Halmashauri ya Mji Kondoa kimefanyika kwa kujadili taarifa za kipindi cha Julai Desemba ambapo kilihudhuriwa pia na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Paul Sweya, Katibu Tawala Wilaya Ndg. Christina Kalekezi, Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata na Mganga Mkuu Halmashauri ya Mji Kondoa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa