• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nyangasa afungua kikao cha Baraza la Biashara Wilaya ya Kondoa

Tarehe iliyowekwa: December 17th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Fatma Nyangasa amefungua kikao Cha Baraza la Biashara kilichofanyika katika ukumbi wa Kondoa Irangi kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu biashara kati ya sekta binafsi na Umma ili kuleta maendeleo ya Halmashauri kupitia biashara.

DC Nyangasa amewaomba wataalamu kufanyia kazi mambo yote yaliyojadiliwa pamoja na kushirikiana pale ambapo mambo hayaendi sawa.

Mhandisi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndugu Martin Vicent ametoa taarifa juu ya maendeleo ya kuanza kwa mradi wa ujenzi wa soko kuu na stendi mpya  ya mabasi Bicha ambapo taarifa yake imeeleza kuwa muda wowote kutoka hivi Sasa ujenzi huo utaanza.

Wafanyabiashara walioshiriki mkutano huo pia wameishauri serikali na kutoa mapendekezo namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kuboresha zaidi masuala ya biashara.

Taarifa zilizowasilishwa ni utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo, ujenzi wa stendi mpya ya Bicha na Soko Kuu la Kondoa pamoja na mfumo wa uzaaji wa mazao kupitia stakabadhi ghalani.

Mojawapo ya wadau waliohudhuria kikao hicho ni Waheshimiwa Madiwani, wafanyabiashara, Wakuu wa Idara na Vitengo, Mameneja wa Benki pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali.


Matangazo

  • Matokeo ya Upimaji Kidato cha Pili 2025 January 10, 2026
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Halmashauri ya Mji Kondoa November 06, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Sita Kondoa Girls 2025 July 07, 2025
  • Tangazo la kazi za muda June 28, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Kondoa Mji yatoa mafunzo ya mfumo wa SIS kuimarisha na kuboresha mifumo ya utoaji taarifa

    January 09, 2026
  • Kamati ya Lishe Kondoa Mji yapitia mpango wa bajeti 2026/2027

    December 24, 2025
  • DC Nyangasa afungua kikao cha Baraza la Biashara Wilaya ya Kondoa

    December 17, 2025
  • DC Nyangasa ahimiza ushirikiano na ukusanyaji wa mapato

    December 06, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Ziara ya CMT kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo robo ya kwanza 2025/2026
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa