• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nyangasa aongoza kikao cha tathmini ya lishe Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: September 10th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Fatma Nyangasa ameongoza kikao cha Tathimini ya Lishe katika Halmashauri ya mji Kondoa Kilichoandaliwa na halmashauri hiyo kupitia Idara ya afya, lishe na ustawi wa Jamii.

Lengo la kikao hicho ni kujadili shughuli za lishe kwa Mwaka wa fedha 2024/2025

Kikao hicho kimehudhuriwa mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Kondoa Ndg.Said Majaliwa, Katibu Tawala Wilaya, wakuu wa Idara, Maafisa Lishe, Maafisa tarafa pamoja na watendaji wa Kata.

Moja wapo ya mambo yaliyoangaliwa katika kikao hicho ni masuala ya urutubishaji wa vyakula Ili kuendana na mikakati ya Serikali ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya bora.

Hata hivyo DC Nyangasa amempongeza Mkurugenzi Majaliwa kwa kazi nzuri anayoifanya katika utekelezaji wa afua za lishe kwa mwaka 2024/2025.

Katika kikao hicho Mkuu wa Wilaya  amesisitiza kuweka kipaumbele kwa watoto, kufanya vikao vyote vya lishe  kwa wakati pamoja na  kuhakikisha vinu vya kuongeza virutubishi vinaletwa ili  jamii iweze kutumia vyakula vya kuongeza virutubisho ili kuimarisha afya zao.

Kikao hicho Cha tathimini ya lishe kimefanyika katika ukumbi wa halmashauri uliopo katika ofisi za Halmashauri ya mji Kondoa.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Sita Kondoa Girls 2025 July 07, 2025
  • Tangazo la kazi za muda June 28, 2025
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • DC Nyangasa aongoza kikao cha tathmini ya lishe Kondoa Mji

    September 10, 2025
  • Kondoa Mji wafanya ziara ya kujifunza Dodoma Jiji

    September 05, 2025
  • Mkurugenzi Kondoa Mji afanya hafla kuwaombea wanafunzi darasa la saba 2025

    September 04, 2025
  • RC Senyamule ahitimisha wiki ya Elimu ya Watu Wazima

    August 18, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa