• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DKT.ASHATU AFUNGUA JENGO LA DHARURA KONDOA MJI

Tarehe iliyowekwa: April 29th, 2023

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji amefungua rasmi jengo la dharura kafika Hospitali ya Mji Kondoa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Uzinduzi huo umefanyika katika Hospitali ya Mji Kondoa na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Waheshimiwa Madiwani, Mwenyekiti na Katibu wa CCM wilaya, watumishi na wananchi.

Mhe. Dkt Ashatu ameupongeza uongozi wa Wilaya na Halmashauri kwa usimamizi wa miradi kwani kazi iliyofanyika inaonekana ambapo awali fedha zilikuwa zikiletwa lakini miradi ilikuwa haikamiliki.

"Maendeleo yanahitaji waru wenye afya bila hilo watu hawawezi kuleta maendeleo na ndicho alichofanya Mhe. Rais ameona ajenge  jengo hili pia ametoa ajira nyingi kwa watu wa elimu na afya ili waje kutoa huduma stahiki kwa wananchi,"amesema Dkt . Ashatu.

Aidha amesema kuwa zinapoletwa fedha kazi zifanyike kwa uadilifu na kutaka huduma itakayotolewa katika jengo hilo iendane na uzuri wa jengo ikiwa ni pamoja na kulitunza ili kuendelea kutoa huduma kwa vizazi yote.

"Wananchi tujitoe kwenye shughuli za maendeleo ili kuunga mkkno juhudi zinazofanywa na Serikali kwenye elimu, afya, maji na barabara na tujitafakari iwapo miaka 59 ya Muungano yanafanana na yaliyopo ndani mwako,"amesisitiza Dkt.Ashatu

Akiongea awali Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Dkt. Khamis Mkanachi amesema kuwa viongozi ambao ni Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Abeid Karume waliridhia nchi mbili ziungane kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi ambapo nao leo wanaendelea kuudumisha na wamefanya kwa kuanzia kuzindua miradi Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa.

"Serikali imeleta fedha nyingi za maendeleo na hapa Hospitali ukiacha jengo hili kuna ujenzi unaendelea vizuri na ujenzi upo hatua ya umaliziaji na fedha zingine zitamalizia ukarabati na tunaendelea kusimamia ujenzi huo kwa kuhakikisha fedha iliyoletwa inakamilisha ujenzi na kwa viwango vinavyotakiwa,"amesema Dkt. Mkanachi

Naye mbunge wa Kondoa Mjini Mhe. Ally Makoa ameishukuru Serikali na Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha ambapo amesema zinafanya kazi vyema na kuushukuru uongozi wa CCM wilaya ya kushiriki katika miradi ya maendeleo.

Ufunguzi wa jengo la dharura katika Hospitali ya Mji Kondoa umefanyika baada ya jengo hilo kukamilika ambapo limetumia shilingi milioni 323 ambapo Serikali Kuu ilileta shilingi milioni 300 kwa ajili ya ujenzi na shilingi milioni 364 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa na Halmashauri kupitia mapato ya ndani imetoa shilingi milioni 23 na imetoa huduma kwa wananchi 28 toka ianze kufanya kazi.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa