• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Dumisheni ushirikiano kuendelea kupata hati safi"- RC Senyamule

Tarehe iliyowekwa: July 12th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka viongozi na watumishi waHalmashauri ya Mji Kondoa kuendelea kudumisha ushirikiano uliopo ili waendelee kupata hati safi kama walivyopata kwatika ukaguzi wa hesabu kwa mwaka 2021/2022

Ameyasemahayo wakati wa kikao maalum cha baraza la Waheshimiwa Madiwani la kujadili hojaza Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za serikali kilichofanyika katika ukumbi wamikutano wa Halmashauri ya Mji Kondoa hivi karibuni.

“Nachukuanafasi hii kupongeza Halmashauri ya Mji Kondoa kwa kupata hati safi na nimeambiwa ni kawaida yenu na mjue kwa hayo mmeleta sifa kwa halmashauri, mkoana taifa kwa ujumla hongereni sana,”amesema Mhe. Senyamule

Aidhaamesema kuwa ameona utofauti wa uendeshaji wa baraza la madiwani katika Halmashauri ya Mji Kondoa ambapo Mwenyekiti wa Halmashauri amekuwa akimsimamisha diwani mmoja mmoja kutoa maoni kwa kila hoja jambo ambalo linaonyesha demokrasia katika baraza hilo.

“Imeonekanakuna utaratibu wa kujibu hoja mpya na kuacha za zamani bila majibu hivyonawashauri tujikite pia kujibu hoja za zamani kwa kuwa hoja zote zina uzitosawa, zingine ukiangalia zimesababishwa na uzembe sababu unakosaje risiti wakati umepewa fedha?”ameuliza Mhe. Senyamule

Ameongezakuwa ili kukabiliana na suala la hoja mkoa umeagiza kila halmashauri kuwa na agenda ya kudumu katika vikao vya kisheria ambapo taarifa itatakiwa kupelekwa mkoani kila mwezi, fedha zilizokusanywa kupelekwa benki, kupeleka makato yakisheria ya watumishi na kutaka kupata taarifa utekelezaji Agosti 30,2023.

Naye Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ndg. Ally Gugu amesema ili kuhakikisha hoja hazipokabisa katika halmashauri hatoacha kuja kuangalia utekelezaji wa masuala mbalimbali na kuisihi halmashauri kufuta hoja zilizosalia na kuwapongeza kwa kupata hati safi.

Akiwakaribisha viongozi Mkuu wa Wilaya Kondoa Mhe. Dkt. Khamis Mkanachi amewapongeza waheshimiwa madiwani kwa kuendelea kuifanya Halmashauri kuwa katika hali ya utulivu na kuwashauri ili kuepukana na hoja wataalam wakae na kuona sababu zinazosababisha hoja kuwepo kwa kuwa hoja nyingine zinasababishwa na wataalam mwenyewe hivyo wanaosababisha wachukuliwe hatua pia.

Akifungakikao Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge amesemakuwa baraza limepokea ushauri na utafanyiwa kazi na wao kama wajumbe wa kamatiya fedha walishaanza kuyafanyia kazi kwa kuhakikisha viambata vyote vya majibu vinatafutwa na vinapatikana na majibu pia.

Halmashauri ya Mji Kondoa imefanya baraza maalum la kujadili hoja za Mdhibiti wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambapo Halmashauri ilikuwa na hoja 61kati ya hizo hoja 26 zilikuwa za miaka ya nyuma, hoja 35 mpya na baada yakutolewa majibu hoja 35 zimefungwa na kusalia na hoja 20.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa