• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Fuateni Sheria na Alama za barabarani" - Dkt. Mahenge

Tarehe iliyowekwa: September 30th, 2018

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge amewataka madereva mkoani wote katika mkoa wa Dodoma kufuata sheria na kuheshimu alama za barabarani ili kuepukana na ajali zisizo za lazima.

Aliyasema hayo katika hospitali ya Mji  Kondoa baada ya kuwatembelea majeruhi wa ajali ya basi la kampuni ya Emigrace lenye namba za usajili T 550 DFU lililokuwa likitokea Babati kuelekea Dar Es Salaam ajali iliyotokea mapema leo katika eneo la Kolo kwa Dino.

Amesema kuwa kufuata sheria na kanuni za barabarani zitasaidia kuwaepusha na ajali kwa kuwa chombo hakisemi na kuwasihi kufanya maamuzi sahihi kunapotokea hitilafu zozote katika chombo ili kuokoa maisha ya abiria.

“Ajali hii inaonekana dereva hakuwa na mwendo mkali ila alichelewa kufanya maamuzi ya kulikwepesha gari katika eneo salama na kupelekea abiria kuumia na jeshi la polisi linafanya uchunguzi wote waliohusika kusababisha ajali sheria zichukuliwe dhidi yake.”Alisema Dkt. Mahenge

Aidha alimwagiza kamanda wa polisi wa wilaya ya Kondoa kuweka trafiki katika eneo hilo lenye mteremko na kona kali ili kukagua magari yanayopita hapo na kuokoa maisha ya abiria na mali zao na kuwashukuru kamati ya ulinzi na usalama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya na watumishi wa hospitali ya Mji kwa ushirikiano waliouonyesha katika kuokoa maisha ya abiria hao.

Akiongea Mkuu wa wilaya Mhe. Sezaria Makota alimwomba Mkuu wa mkoa kusaidia upatikanaji wa fedha za kujenga Kituo cha Afya Kolo na chumba cha wagonjwa mahutiti katika hospitali ya mji ili kuokoa maisha ya wanaopata ajali kwani ajali nyingi zinatokea katika eneo hilo.

Naye Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Kondoa Dkt. Florence Hilary alisema kuwa walipokea majeruhi 35 ambapo majeruhi 10 waliruhusiwa, 25 wamelazwa na wagonjwa 8 wapelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa matibabu zaidi.

Matangazo

  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Kondoa Mji watoa mafunzo kwa vikundi 16 vya mikopo awamu ya tatu

    June 24, 2025
  • Wataalam wa Kilimo na Mifugo Kondoa Mji watembelea Nanenane Jijini Dodoma

    June 24, 2025
  • Watumishi watakiwa kuendelea kutoa elimu ya stakabadhi ghalani

    June 23, 2025
  • Baraza Maalum Kondoa Mji lapitisha Sheria ndogo kuimarisha vyanzo vya mapato

    June 20, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa