• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Jazeni "OPRAS" Mpande Madaraja - Dakawa

Tarehe iliyowekwa: January 16th, 2019

Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Kondoa Msoleni Dakawa amewataka watumishi wa halmshauri kujaza fomu za utendaji kazi (OPRAS) ili kupanda madaraja kwani fomu hizo zinasaidia kuonyesha utendaji kazi wa mwaka mzima wa mtumishi

Ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo kwa maafisa elimu kata, wakuu wa shule na walimu wakuu ya jinsi ya kujaza fomu hizo katika ukumbi wa Embeko Kondoa Mjini hivi karibuni.

“Ujazaji wa Opras ulianzishwa ili kufuta mazoea na upendeleo katika ofisi za serikali uliokuwepo hapo awali hasa wakati wa kuwapandisha madaraja ya mishahara  watumishi kwani watu walikuwa wanawapandisha watumishi kwa upendeleo na kuwaacha wanaofanya kazi.” Alisema Dakawa

Aliongeza kuwa ili kuondoa hali hiyo serikali ilianzisha utaratibu wa kutumia Opras ambazo hujazwa na kila mtumishi na kupimwa na msimamizi wake kulingana na majukumu na malengo aliyojiwekea na huwezi kupanda daraja hadi utakapojaza Opras.

Hata hivyo aliwataka viongozi hao kusikiliza kwa makini mafunzo hayo ili wakawafundishe vizuri wanaowasimamia mapema iwezekanavyo ikiwa ni mwanzoni mwa mwaka ili kufikia malengo yaliyokusudiwa na taasis.

Aidha alitumia nafasi hiyo kuwaasa viongozi hao kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za serikali ili kuepuka kukwamisha miradi hiyo kama ilivyotokea kwa baadhi ya viongozi ambao wamechukuliwa hatua na ni jambo ambalo halipendezi kiutumishi.

“Mkikiuka miongozo ya kazi zenu wakati wa kutekeleza kazi zenu mtafungwa na nawasihi msisite kuuliza mnapokwama na nawasihi fanyeni kazi kwa kushirikiana na viongozi wa ngazi zote kuanzia vitongoji na nawahakikishia hamtakwama katika kutekeleza majukumu yenu.”

Mafunzo ya ujazaji wa fomu za utendaji (OPRAS) yatafanyika kwa siku mbili na yamehudhuriwa na maafisa elimu kata, wakuu wa shule na walimu wakuu ambapo nao watakwenda kuwafundisha walimu wanaowasimamia ikiwa ni baada ya maboresho ya fomu hizo ambapo kwasasa walimu watajaza kulingana na kazi zao za kila siku kwa kumlenga mwalimu hadi wa darasani.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa