• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Fedha na Utawala yakagua miradi ya Bilioni 1.9

Tarehe iliyowekwa: January 22nd, 2025

Kamati ya Fedha na Utawala Halmashauri ya Mji Kondoa imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi inayoetekelezwa yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.9 ikiwa ni fedha kutoka Serikali Kuu, Wahisani na mapato ya ndani.

Wakiongea kwa nyakati tofauti Waheshimiwa Madiwani wameipongeza Serikali ya awamu ya sita kwa kuwaletea fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo itawasaidia kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi.

“Tumeagiza wasimamizi wa miradi inayotekelezwa kuendelea kuwa karibu zaidi na miradi hii sababu tunahitaji kuona thamani ya fedha zilizoletwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,”amesema Mhe.Mohamed  Kiberenge Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa

Aidha wajumbe wengine wameshauri miradi kukamilika kwa wakati na ubora na katika ukaguzi wao wameona kazi zimefanyika vizuri ambapo majengo yapo katika hali znuri hivyo jukumu lao ni kuhamasisha wananchi ili wanafunzi waende shuleni kujifunza na kuleta tija ya miradi hiyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said amewahakikishia wajumbe kuwa ataendelea kusimamia ili kazi zizidi kuendelea vizuri na kukamilisha kwa wakati kwa kushirikiana na wasimamizi wote wa miradi.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa shule ya amali wenye thamani ya shilingi milioni 544,225,626, mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Suruke wenye thamani ya shilingi milioni 544,225,626, ujenzi wa madarasa matatu na matundu 6 ya vyoo wenye thamani ya shilingi milioni 81,600,000, mradi wa umaliziaji wa zahanati ya Mulua na ujenzi wa choo wenye thani ya shilingi milioni 7.

Miradi mingine ni ujenzi wa madarasa 8 na matundu 8 ya vyoo katika Shule ya Sekondari Tura Day wenye thamani ya shilingi milioni 198,400,000, ujenzi wa madarasa sita, mabweni 2 na matundu ya vyoo kumi katika Shule ya Sekondari Gubali kwa thamani ya shilingi milioni 405,000,000, ujenzi wa madarasa matatu na matundu sita ya vyoo katika Shule ya Msingi Unkuku kwa tahami ya shilingi milioni 81,600,000 pamoja na umaliziaji wa nyumba ya mkurugenzi baada ya kupokea shilingi milioni 50.

Ziara ya ukaguzi wa miradi imefanyika ikiwa ni kwa robo ya pili ambapo wajumbe wa kamati ya fedha pia waliongozana na wataalam kutoka idara za Elimu Msingi, Sekondari, Afya. Manunuzi, Ukaguzi wa ndani, Ujenzi na Mipango.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa