• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Fedha yakamilisha ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya shilingi bilioni 1.2

Tarehe iliyowekwa: October 23rd, 2024

Kamati ya Fedha na Utawala imekamilisha ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 inayotekelezwa katika kata na mitaa mbalimbali za Halmashauri ya Mji Kondoa.

Miradi iliyopitiwa na kamati hiyo ni pamoja na mradi wa ujenzi wa madarasa 8 na matundu 8 ya vyoo katika Shule ya Sekondari Ula ukiwa na thamani ya milioni 198.4, mradi wa ujenzi wa madarasa 8 na matundu 8 ya vyoo katika Shule ya Sekondari Tura Day ukiwa na thamani ya shilingi milioni 198.4 pamoja na mradi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu wenye thamani ya shilingi milioni 95.

Aidha miradi mingine ni ujenzi wa madarasa 6 na matundu 8 ya vyoo na mabweni mawili katika Shule ya Sekondari Gubali ukiwa na thamani ya shilingi milioni 419.4, mradi wa ujenzi wa darasa 1 na matundu 18 ya vyoo ukiwa na thamani ya shilingi milioni 37.4 Shule ya Sekondaru Kolo, ujenzi wa madarasa 3 na matundu 8 ya vyoo kwa shilingi 81.6 Shule ya Msingi Unkuku na ujenzi wa madarasa 7 na matundu 8 ya vyoo kwa shilingi milioni 175.4 Shule ya Sekondari Bicha.

Akiongea kwenye maeneo ya miradi Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kwa ufuatiliaji na walimu kwa usimamizi wa miradi hiyo ambayo kwasasa ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji na kushauri kuongeza kasi ya ukamilishaji ili ianze kutoa huduma kusudiwa.

Aidha amezitaka kamati za wananchi zinazosimamia miradi hiyo kuhakikisha wanafuatilia kila kitu kuhusu miradi yao ili fedha iliyotolewa iweze kumaliza mradi husika ikiwa ni Pamoja na kuweka kumbukumbu ya vifaa vyote vinavyotumika kwa lengo la kuzuia upotevu wa vifaa hivyo.

Naye Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Zainabu Haroub ameshauri fedha zinazotolewa na serikali kuwekwe utaratibu mzuri wa kuhakikisha kuna mchango wa nguvu za wananchi ili kusaidia fedha zilizotolewa kutoshereza na kuwapa nguvu ya umiliki wananchi ambao nao wamechangia nguvu zao.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amewashukuru Waheshimiwa kwa michango yao katika miradi hiyo na kuahidi kuendelea kuisimamia

Matangazo

  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Kondoa Mji watoa mafunzo kwa vikundi 16 vya mikopo awamu ya tatu

    June 24, 2025
  • Wataalam wa Kilimo na Mifugo Kondoa Mji watembelea Nanenane Jijini Dodoma

    June 24, 2025
  • Watumishi watakiwa kuendelea kutoa elimu ya stakabadhi ghalani

    June 23, 2025
  • Baraza Maalum Kondoa Mji lapitisha Sheria ndogo kuimarisha vyanzo vya mapato

    June 20, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa