• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kero ya ardhi yatawala ziara ya Mkurugenzi, Menejimenti Kilimani

Tarehe iliyowekwa: May 31st, 2024

Katika mwendelezo wa ziara ya kata kwa kata inayofanywa na Mkurugenzi na menejimenti katika Halmashauri ya Mji Kondoa migogoro ya ardhi imewasilishwa kwa kiwango kikubwa katika kata ya Kilimani.

Wakiwasilisha changamoto hizo wananchi wa kata hiyo wamesema wanamaeneo yao yalichukuliwa na Halmashauri na kupimwa kisha kupewa watu wengine bila kulipwa fidia  japokuwa wengine wamelipwa mwaka 2011 na wanapotaka kuendeleza maeneo yao huvamiwa na watu wengine.

Akijibu changamoto ya wakazi hao Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg.Said Majaliwa amewataka wananchi hao kuwa na subira wakati jambo lao likifanyiwa kazi ambapo atandaa kikao cha pamoja nao ili kulitatua kwa pamoja kwa kutumia nyaraka zilizopo toka awali ikiwa ni pamoja kujua waliolipwa fidia na wanaodai.

Aidha amewataka watendaji wa mitaa kuhakikisa wananchi waaojenga waa vibali vya ujenzi ili kuepuka ujenzi holela, kuiingizia mapato Halmashauri na kufuata sheria ambapo nyumba zote zinazojengwa zinatakiwa kuwa na vibali.

Ameendelea kuwataka watendaji kuwa na rejesta za nyumba zilizopo kwenye mitaa yao ikiwa ni pamoa na kutoa taarifa ya changamoto wanazokabiliana nazo katika kutekeleza majukumu yao.

Kwa upande wake Kaimu Afisa Utumishi na Utawala Ndg. Pepino Mfugale amewataka watendaji kukaa katika vituo vya kazi, kufanyakazi kwa ushirikiano na kufanya kazi operesheni ya kukusanya fedha za vibali vya ujenzi.

Ziara ya kwa kata katika kata ya Kilimani imemalizika kwa Mkurugenzi kufika katika mtaa wa Bicha kuona eneo la stendi ya Bicha ambalo  baadhi ya wananchi hawajalipwa fidia kutokana na mgogoro wa pande mbili iwapo wapo katika eneo la mgogoro ili wapewe fidia yao.


Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa