• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kondoa Islamic wapewa kongole kuinua taaluma

Tarehe iliyowekwa: November 22nd, 2019

Uongozi wa Shule za Kondoa Islamic umepongezwa kwa usimamizi mzuri na mshikamano walionao na kupelekea shule hizo kufanya vizuri kitaaluma kwa ngazi ya kitaifa, kimkoa na kiwilaya.

Pongezi hizo zilitolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri aya Mji Kondoa Msoleni Dakawa akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya saba ya kidato cha nne yaliyofanyika katika viwanja vya shule hizo hivi karibuni.

“Pongezi pia kwa kupata usajili wa shule ya awali ambapo mmedhihirisha kuwa mnafanya vizuri kwa jinsi watoto walivyoonyesha umahiri wao katika kuongea lugha ya kiingereza na usomaji wa Kurani,”aliongeza Mkurugenzi Dakawa.

Aidha aliwashauri kutosita kushirikiana na Ofisi ya Mkurugenzi wanapokuwa na jambo lolote la kuboresha elimu kwani wao ni wadau wakubwa katika kuinua elimu ndani ya wilaya, mkoa na taifa kwa ujumla.

“Mmeweka mkakati wa kujenga Chuo ni vizuri na itasaidia kwa kiasi kikubwa watoto wanaoshindwa kuendelea na kidato cha tano na sita ambapo wakihitimu watasaidia katika kuiendeleza jamii ya Kondoa kwa kuwa mtazalisha vijana wengi wenye ujuzi mbalimbali,”alisisitiza Mkurugenzi Dakawa

Hata hivyo aliwashauri wazazi kuwawezesha watoto wao na kuwaonyesha upendo ili wamalize salama masomo yao kwani elimu ndio urithi pekee kwa mtoto.

Awali akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wenzake waliomaliza kidato cha nne Ally Adinani alisema shule ina malengo ya kuanzisha kidato cha tano, sita na chuo japokuwa wana changamoto ya kompyuta na chumba cha kompyuta.

Shule ya Sekondari Kondoa Islamic ilianzishwa mwaka 2010 ikiwa na wanafunzi 17 na kwa sasa ina jumla ya wanafunzi 640 ambapo kwa mwaka 2019 ni mahafali ya 7 na jumla ya wanafunzi 182 wamehitimu kidato cha nne kwa mwaka 2019.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa