• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kondoa Mji wafanya ziara ya kujifunza Dodoma Jiji

Tarehe iliyowekwa: September 5th, 2025

Menejimenti ya Halmashauri ya mji Kondoa Imetembelea Halmashauri ya jiji la Dodoma kujifunza namna walivyofanikiwa kuwahamisha wafanyabiashara wa soko la Majengo ambalo ndilo lilikuwa Soko kuu la Jiji Hilo Ili kupisha Ukarabati wa Soko hilo.

Idara ya Biashara ikishirikiana na idara ya mipango pamoja na kitengo cha Sheria wamefanikiwa kufanya ziara  hiyo tar 04/09/2025.

Katika ziara hiyo iliyoongozwa na Afisa Biashara Bertha Msaki walitembelea eneo ambalo wafanyabiashara walihamishiwa na kujifunza mbinu mbalimbali zilizotumika kuwahamisha wafanyabiashara hao pasipo kuleta  migogoro wala usumbufu wowote.

Timu ya menejimenti ilikutana na uongozi wa soko na uongozi wa Halmashauri ya jiji na kukaa pamoja katika ofisi ya uongozi wa soko na kupata mbinu mbalimbali zilizotumika kufanikisha zoezi hilo ikiwemo ushirikishwaji wa wafanyabiashara kuanzia hatua za awali, majadiliano hadi kupisha ukarabati.

Lengo la Ziara hiyo ni kuona namna bora ya utekelezaji wa mradi mpya wa TACTIC unaofadhiliwa na Benki ya Dunia wa ujenzi wa Soko la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Kondoa kwani wafanyabiashara wa Soko kuu watalazimika pia kupisha ujenzi wa Soko hilo.

Ujenzi wa Soko kuu la kisasa katika Halmashauri ya Mji Kondoa unatarajiwa kuanza mapema mwezi wa Oktoba, 2025.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Sita Kondoa Girls 2025 July 07, 2025
  • Tangazo la kazi za muda June 28, 2025
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • DC Nyangasa aongoza kikao cha tathmini ya lishe Kondoa Mji

    September 10, 2025
  • Kondoa Mji wafanya ziara ya kujifunza Dodoma Jiji

    September 05, 2025
  • Mkurugenzi Kondoa Mji afanya hafla kuwaombea wanafunzi darasa la saba 2025

    September 04, 2025
  • RC Senyamule ahitimisha wiki ya Elimu ya Watu Wazima

    August 18, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa