• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kondoa Mji yatoa mafunzo ya mfumo wa SIS kuimarisha na kuboresha mifumo ya utoaji taarifa

Tarehe iliyowekwa: January 9th, 2026

Halmashauri ya Mji Kondoa  imetoa Mafunzo ya School Information System (SIS) kwa wakuu wa shule za Msingi na Sekondari, walimu wa TEHAMA, Maafisa Elimu Kata, pamoja na Maafisa wa Idara ya Sekondari na  Elimu ya Awali na Msingi pamoja na walimu wa shule zisizomilikiwa na Serikali.

Lengo la mafunzo hayo ni kuhakikisha Shule zote zinatumia mfumo wa Kidijitali wa Taarifa za Shule kwa ufanisi  katika ukusanyaji, utunzaji na utoaji wa taarifa za Shule kwa wakati.

Taarifa hizo ni kama vile uandikishaji na usajili wa wanafunzi, taarifa za walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na  wanafunzi, maendeleo ya wanafunzi, taarifa za  vitabu pamoja na miundombinu na samani za shule.


Mafunzo hayo ya siku 2 yanafanyika katika  Chuo cha Ualimu Bustani na yamefunguliwa leo na Afisa Elimu Msingi Mwalimu  Lucy Mbolu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa.


Akiongea na wanamafunzo, Bi Lucy amewasisitiza   kuwa makini kwa kila hatua ya ujifunzaji   kwa kuwa baada ya mafunzo watakwenda kutumia  mfumo na pia  kuwawezesha walimu wote wa Shule za Msingi na Sekondari   kutumia mfumo kwa ufanisi.


Mafunzo hayo yamehudhuriwa na wanamafunzo 118 ambapo mada mbalimbali ikiwemo School Management na Classroom Operation zimefundishwa.


Afisa Elimu amehimiza wanamafunzo kuhakikisha  taarifa zinazoingizwa kwenye mfumo ni sahihi kwa ajili ya  matumizi mbalimbali katika ngazi ya Halmashauri, mkoa na Taifa kwa ujumla.


@ortamisemi

@maelezonews

@mkoa_wa_dodoma

Matangazo

  • Matokeo ya Upimaji Kidato cha Pili 2025 January 10, 2026
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Halmashauri ya Mji Kondoa November 06, 2025
  • Matokeo ya Kidato cha Sita Kondoa Girls 2025 July 07, 2025
  • Tangazo la kazi za muda June 28, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Kondoa Mji yatoa mafunzo ya mfumo wa SIS kuimarisha na kuboresha mifumo ya utoaji taarifa

    January 09, 2026
  • Kamati ya Lishe Kondoa Mji yapitia mpango wa bajeti 2026/2027

    December 24, 2025
  • DC Nyangasa afungua kikao cha Baraza la Biashara Wilaya ya Kondoa

    December 17, 2025
  • DC Nyangasa ahimiza ushirikiano na ukusanyaji wa mapato

    December 06, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Ziara ya CMT kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo robo ya kwanza 2025/2026
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa