• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Madiwani wataka kushirikiana kuleta maendeleo

Tarehe iliyowekwa: February 9th, 2023

Waheshimiwa madiwani wametakiwa kuongeza umoja na ushikamano uliopo katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuwa wameaminiwa na wananchi na wameibeba dhamani ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge wakati akiongea katika kikao cha baraza  la Waheshimiwa Madiwani la robo ya pili kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji Kondoa.

“Tushirikiane kwa  pamoja mafanikio ya mji yanataka umoja siyo kubezana au kuona jambo la mtu mmoja si kweli  lazima kila mmoja anayejihisi ni mdau katika Mji huu wa Kondoa naye aonyeshe amesaidia nini katika jambo moja au rasilimali,”amesema Mhe Kiberenge

Aidha amesema kwa upande wa elimu sekondari katika matokeo ya kidato cha nne Halmashauri haijafanya vizuri hivyo wamemtaka Afisa Elimu Sekondari kufanya tathmini ya sababu zilizopelekea kushuka kwa ufaulu kwa kidato cha nne na pili japokuwa kuna baadhi ya shule ufaulu umepanda.

“Ukaangalie shida ni mwalimu mmoja mmoja wa somo, shida ni walimu au ushirikishwaji wa walimu si mzuri au hawataki kuwajibika au mwalimu alikuwa na shida gani lazima tujue kata nane tulitakiwa kuwa nafasi nzuri madiwani wapate taarifa na chama ili ufanyike ufuatiliaji wa pamoja,”amesisitiza Mhe Kiberenge

Ameongeza kwa kuzitaka kamati za mazingira kusimamia suala la utupaji hovyo wa taka na kuona ni jambo la pamoja na si la mtu mmoja hivyo Waheshimiwa Madiwani wakakae na kamati za kata ili kuweka mkakati wa pamoja na kufanya doria za mara kwa mara za kukagua usafi wa mji.

Kwa upande wa afya amewataka madaktari na manesi kuwajibika kwa nafasi zao kwa kutoa huduma kwa wananchi kwa kutumia lugha nzuri ili wananchi wafurahie huduma wanazopatiwa na kuokoa uchumi wao hasa wanaoenda Dodoma kupatiwa huduma.

Naye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kondoa Mhe. Hija Sulu amewataka Waheshimiwa Madiwani kwenda kuwaelezea Wananchi mafanikio kwenye kata zao na kuwataka kushirikiana, kupendana na kuvumiliana kama familia moja kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi.

Kikao cha Baraza la Madiwani kimekaliwa kwa ajili ya kujadili taarifa za utekelezaji za kamati za kudumu robo ya pili ambapo mambo mbalimbali ya maendeleo yamejadiliwa na limeongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mwalimu Annette Nara na kuhudhuriwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama, Wakuu wa Idara na viongozi wa Chama cha Mapinduzi.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa