• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAHUSIANO MAZURI KULETA MAENDELEO KOLO

Tarehe iliyowekwa: February 5th, 2018

Watumishi wa Kata ya Kolo wametakiwa kudumisha mahusiano kati yao, viongozi wengine na wananchi ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma zote za kijamii.

Akiongea na watumishi wa Kata ya Kolo Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kondoa Ndugu Kitte Mfilinge katika kikao kati ya kamati ya siasa wilaya na watumishi wa kata hiyo hivi karibuni, amesema kuwa imebainika kuwa watumishi wengi wa kata hiyo hawana mahusiano mazuri hali ambayo inawanyima haki wananchi ya kuhudumiwa.

Alisema kuwa serikali imekuwa ikileta fedha za miradi lakini utekelezaji wake unasuasua na wananchi hawapati taarifa za miradi hiyo hali ambayo inawakosesha wananchi haki ya kujua miradi na utekelezaji wake na hakuna siri yoyote wao kutokujua.

Aidha aliongeza kuwa viongozi wengi wa vijiji na Mtendaji wa Kata hawaitishi mikutano kwa ajili ya kusoma mapato na matumizi hali inayowaumiza wananchi kwa kutojua matumizi ya fedha zao hivyo kupitia kikao hicho watendaji wote wawe na sura ya kujenga na si kukomeshana.

Hata hivyo aliongeza kuwa lengo la kikao hicho ni kuhamasisha maendeleo kwa ajili ya wananchi bila kujali itikadi ya vyama kwani maendeleo hayana chama hivyo maazimio yake yalete amani na maendeleo katika kata ya Kolo kwa manufaa ya wananchi wa Kolo.

Naye Mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM Wilaya ya Kondoa Mh. Edwin Sannda alisema kuwa watendaji wanapaswa kuwajengea wananchi umoja ili wajiletee maendeleo kutokana na mipango watakayojiwekea katika vikao vyao vya kata na vijiji.

Akifunga kikao Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kolo Mh. Hamad Ally Majala alisema kuwa mtumishi ambaye hatawajibika kwa nafasi yake atawajibishwa kwani wananchi wanataka maendeleo na wao kama wenye ilani hawana nia ya kuwakomesha watendaji hao ila watashirikiana nao kuhakikisha wananchi wanapata huduma stahiki na kwa wakati.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa