• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mbunge Atoa Miwani 1276 Kwa Wananchi Kondoa

Tarehe iliyowekwa: February 14th, 2018

Mbunge wa jimbo la Kondoa Mjini Mh. Edwin Sannda ametoa miwani zaidi ya elfu moja kwa wananchi wa Wilaya ya Kondoa ili kukabiliana na tatizo la macho kwa wananchi wa wilaya hiyo na maeneo ya jirani.

Zoezi la kukabidhi miwani hiyo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji lilifanyika katika viwanja vya Hospitali ya Wilaya ya Kondoa na kuhudhuriwa na viongozi wa dini, vyama, wilaya ya wananchi.

Akiongea wakati wa sherehe hizo Mh. Sannda alisema kuwa lengo la kukabidhi miwani hiyo ni kukabiliana na matatizo ya macho yaliyogundulika wakati wa zoezi la kutoa huduma ya hospitali tembezi lililofanywa na madaktari bingwa kutoka mkoani Dodoma.

Aliongeza kuwa wagonjwa wengi walionekana kuwa na tatizo la mtoto wa jicho, presha ya macho na kutokuona mbali na kukosa huduma hiyo wakati huo hivyo wakaona ni vyema kutafuta wadau ili wananchi wapate huduma hiyo ambayo ni muhimu na kufanikisha kupatikana kwao na ndio waliotoa msaada huo unaokabidhiwa.

Aidha alilishukuru shirika la Head Inc lililopo nchini Marekani kwa  kuonyesha uzalendo mkubwa na kuwasaidia wananchi wa Kondoa na maeneo ya jirani ikiwemo Chemba na Kiteto kupata huduma hiyo muhimu tena bila gharama zozote.

Naye Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya Dkt. Eusebia Kessy alimshukuru mbunge kwa msaada huo na kumuahidi kuwa huduma hiyo itafanywa kwa uaminifu mkubwa na kuwafikia walengwa na kusema kuwa huduma hiyo itatolewa kwa siku tano na baada ya siku hizo kukamilika miwani itakayobakia itaendelea kutolewa kwa wananchi watakaojitokeza baadae hadi itakapoisha.

Ofisi ya Mbunge wa Kondoa Mjini imetoa miwani yenye zaidi ya shilingi milioni arobaini kwa wananchi wake na maeneo ya jirani ili kukabiliana na tatizo la macho kwa wananchi huduma ambayo itaambatana na upimaji wa macho kabla ya kukabidhiwa miwani na huduma hizo zitatolewa bure.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa