• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mbunge Makoa azindua madarasa Shule ya Msingi Chemchem

Tarehe iliyowekwa: March 7th, 2025

Mbunge wa Kondoa mjini Mhe. Juma Ally Makoa amezindua madarasa 3 yenye thamani ya shilingi milioni 69 pamoja na matundu 6 ya vyoo yenye thamani ya shilingi milioni 12.6 katika Shule ya msingi ChemChem iliyopo katika Kata ya Kingale.

Lengo la ujenzi wa madarasa hayo  ni kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani pamoja na kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia.

Aidha Mhe. Makoa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia fedha kuletwa katika Halmashauri ya Mji Kondoa  ili miradi iweze kutekelezwa.

"Sasa hii ndio Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan madarasa  yaliyowekwa vigae madirisha ya vioo nani kama Samia"amesema Mhe. Makoa

Ameendelea kwa kuwasisitiza walimu kutunza madarasa hayo ili yadumu kwa kipindi kirefu na bado ana mpango wa kuifanya Shule ya ChemChem kuwa bora zaidi kama zilivyo Shule nyingine za mjini.

Hata hivyo amewaahidi wananchi wa ChemChem kuwa anashughulikia suala la umeme Ili wananchi wa eneo hilo waweze kupata huduma hiyo kwani tayari amekwishatafuta baadhi ya nguzo jambo litakalopelekea huduma hiyo ya umeme kufika katika eneo hilo.

Aidha amempongeza Mkurugenzi na wataalam kwa usimamizi mzuri na wa karibu wa miradi yoten a jopo lako kwa usimamizi mzuri wa miradi inayoletewa fedha na kukamilika kwa fedha iliyoletwa.

Nae mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge amempongeza Mhe. Mbunge kwa kazi nzuri anayoifanya hususani kuhakikisha miradi mbalimbali inaletwa katika Halmashauri ya Mji Kondoa ikiweno miradi ya Shule.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Sekela Mwasubila amemshukuru Mhe. Mbunge kwa kuendelea kuwasemea bungeni wananchi wa Kondoa Mjini na kupelekea fedha kuja Halmashauri na kutekeleza miradi ikiwemo ujenzi wa madarasa ya Chemchem.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Wakuu wa Idara na Vitengo,  viongozi wa chama kata ya Kingale, Mwenyekiti wa Mtaa na wananchi wa mtaa wa Chemchem.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • RC, RAS, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Dodoma ziarani Mufindi kujifunza kilimo cha Tufaa (Apple)

    May 11, 2025
  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa