• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mhe. Kiberenge aishukuru Serikali kuwekeza katika elimu

Tarehe iliyowekwa: October 4th, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwekeza nguvu kubwa katika miundombinu ya sekta ya elimu katika Halmashauri ya Mji Kondoa.

Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho  ya Juma la Elimu yaliyofanyika katika viwanja vya Sabasaba hivi karibuni.

"Tumeona Sekondari zimejengwa kupitia serikali yetu, kupitia mradi wa SEQUIP  tumeona shule ya Sekondari Bolisa na Tura  zimejengwa" ameongea Mohamed Kiberenge ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo.

Akikagua mabanda mbalimbali ya  maonesho katika viwanja vya Sabasaba mapema Mhe. Kiberenge amewataka wasimamizi wa masuala ya utalii kuhakikisha wanawakaribisha wanafunzi wengi kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Kondoa ili waweze kujifunza zaidi.

Hata hivyo Kaimu Afisa Elimu Sekondari Ndg. Saimon Fidelis amewasisitiza wanafunzi wote na jamii kwa ujumla kutumia maadhimisho hayo kutangaza shughuli mbalimbali zinazopatikana katika maeneo hayo ili kujiletea maendeleo.

Mhe. Kiberenge ameendelea kuishukuru Serikali ya sita kwa kuendelea kusimamia elimu ya MEMKWA kwa watoto waliokosa elimu katika shule za kawaida na Sasa wanapata elimu jumuishi.

"Nisisitize kwa wanafunzi ambao hawakufanikiwa kuendelea na elimu ya juu waende kwenye vyuo vya ufundi kwa sababu serikali yetu imewekeza nguvu kubwa kwenye mafunzo ya elimu ya vitendo kwa wale ambao hawakufanikiwa kwenda elimu ya juu" amesisitiza Mhe. Kiberenge.

Maadhimisho ya juma la elimu kwa watu wazima ambayo hufanyika Kila mwaka katika maeneo mbalimbali nchini kwa upande wa Kondoa Mji yamepambwa na burudani mbalimbali ikiwemo muziki, bendi, mashairi pamoja na maigizo.

Kilele Cha maadhimisho haya kitakuwa tarehe 11 mwezi 10 mwaka 2024 mkoani Tabora ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Dkt Dotto Biteko.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa