• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Mikopo itumike ilivyopangwa kwenye maandiko ya miradi"- Mkurugenzi Dakawa

Tarehe iliyowekwa: August 20th, 2020

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa ameviasa vikundi vilivyopata mikopo iliyotokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani kutumia kwa kufuata maandiko ya miradi waliyoandika wakati wa kuomba mikopo hiyo.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa hafla fupi ya kukabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 39.5 iliyotolewa kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa robo ya tatu iliyofanyika katika jengo la kituo cha uwekezaji kilichopo Kondoa Mjini.

“Tunataka mkakue kibiashara na kufungua makampuni yatakayowapa fursa ya kufanya biashara popote ndani na nje ya nchi na kupata mikopo mikubwa zaidi ambayo itawaongezea uzalishaji na kukuza kipato chenu,”alisema Mkurugenzi Dakawa.

Aidha aliwashauri kuiga mfano wa vikundi vya watu wenye ulemavu waliopewa mkopo na kumaliza marejesho yao yote ambapo kwa kufanya hivyo wanatoa fursa kwa  wengine kupata mikopo hiyo.

“Nasisitiza tuidhibiti mianya ya rushwa katika kupata mikopo hii kwa kuwa sisi sote ndio ambao tunapaswa kuijenga Kondoa ili kupata maendeleo na vyote vinawezekana tukiwa na amani na upendo miongoni mwetu,” alisisitiza Mkurugenzi Dakawa.

Awali akisoma taarifa ya utoaji wa Mikopo Afisa Maendeleo ya Jamii Irine Mosha amesema kuwa hadi kufikia sasa Halmashauri imetoa mikopo ya asilimia kumi ya mapato ya ndani yenye jumla ya shilingi milioni 196 kwa vikundi 55 na imekusanya kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 80 ikiwa ni marejesho kutoka kwa vikundi hivyo.

Kwa upande wake Meneja wa Benki ya NMB Kondoa Francis Malile aliupongeza uongozi wa Halmashauri kwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ambayo yanarudi kwa jamii kwa njia ya mikopo inayotolewa.

“Nawashauri mkatumie vizuri fedha hizi na  hizi ni kianzio tu mmepewa mkakuze mitaji yenu ili Kondoa iendelee na kwa sasa tumeanzisha akaunti ya PAMOJA  kwa ajili ya vikundi na haina makato yeyote tuitumie,” alisema Meneja Malile.

Halmashauri imetoa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 39.5 ikiwa ni mikopo kwa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2019/2020 na imehudhuriwa na wakuu wa Idara, Meneja wa Benki ya NMB na wawakilishi wa vikundi vilivyopatiwa mikopo hiyo.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa