• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Milioni 400 za miradi zawekewa mikakati ya ukamilishaji

Tarehe iliyowekwa: November 12th, 2022

Fedha zilizotolewa kwa Halmashauri ya Mji Kondoa kwa ajili ya utekelezaji wa  miradi zaidi ya shilingi mlioni 400 zimewekewa mikakati ya pamoja kati ya menejimenti, Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu ili ikamilike kwa wakati na kutoa huduma iliyokusudiwa.

Mikakati hiyo imewekwa wakati wa kikao cha pamoja kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji hivi karibuni.

Akiongea wakati wa kikao hicho Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Paul Sweya amesema ununuzi wa vifaa ufuate utaratibu wa manunuzi na mkanunue katika maduka yote ili miradi ya ikamilike kwa wakati na kuachana na tabia ya kusubiria vifaa sehemu moja hali itakayopelekea miradi kukwama na kutokamilika kwa wakati.

"Pia nawasisitiza suala la kutunza nyaraka za miradi kuanzia tangazo, mihatasari na malipo na tunafanya yote hayo ili muwe salama katika nafasi zenu na muwe wazalendo kama kuna watu wanapewa fedha ndogo ndogo muache tutekeleze miradi yetu hii na nitakuwa nafika kwenye miradi hiyo nawaomba tukamilishe kwa wakati,"amesema Mkurugenzi Sweya

Aidha amewataka kufanya kazi kwa pamoja katika maeneo yao kwa kuwashirikisha wanaowaongoza ili wawe na uelewa wa pamoja kuhusu mradi husika kwani kwa kufanya peke yao wanaweza kutofikia malengo ya ukamilishaji wa miradi hiyo.

Kwa upande wake Mhandisi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Jeremia Longido amewasisitiza viongozi hao kufanya manunuzi ya vifaa kufuata BOQ na kuchagua mafundi wenye uwezo wa kufanya kazi na wanaoweza kutafsiri ramani ya majengo na kuepuka kupandisha bei ya vifaa na kufanya mawasiliano panapokuwa na changamoto katika utendaji kazi.

Naye Mweka Hazina wa halmashauri Ndg. Rahabu Sanga amesema fedha zote zinazoletwa na serikali lazima zikaguliwe hivyo wanapaswa kuhakikisha nyaraka zote muhimu zinakuwepo na kuwahamasisha mafundi wafungue akaunti kwani malipo yao wanapaswa kulipwa wao wenyewe na si wasimamizi.

AfisaMaendeleo ya Jamii wa  Halmashauri  Ndg. Irene Mosha amewaasa wasimamizi hao kutumia bidhaa  zinazozalishwa na  vikundi  vya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu waliopata  mkopo toka Halmashauri ili wapate fedha na waweze kurudisha marejesho nao kupata kipato kitakachowasaidia kujiinua kiuchumi.

Kwa upande wao mwakilishi wa walimu kutoka Shule ya Msingi Iyoli Mwalimu Keneth Bwasi ameishukuru serikali kwa kuwapatia fedha na kuahidi kununua bidhaa kutoka kwa vikundi na wafanyabiashara wa maeneo husika na kufanyakazi na kumaliza kwa wakati.

Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la kuweka mikakati ya kukamilisha miradi ilipata fedha ambapo zaidi  ya shilingi milioni 400 zimeletwa kwa ajili ya umaliziaji wa madarasa, zahanati, maabara na ujenzi wa nyumba za walimu.


Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa