• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkurugenzi Kondoa Mji ateta na Walimu Wakuu

Tarehe iliyowekwa: December 24th, 2020

Walimu wakuu wa Halmashauri ya Mji Kondoa wameaswa kufanya kazi kwa ubunifu, nidhamu, kutambua mamlaka zao na zinazowaongoza ikiwa ni pamoja na kufuatilia masuala ya kitaaluma kwa wanafunzi na walimu ili kuongeza ufaulu katika shule wanazoziongoza.

Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa wakati wa ufunguzi wa kikao cha Walimu Wakuu kilichofanyika katika ukumbi wa Kituo Cha Walimu Kondoa Mjini hivi karibuni.

"Nikiwaangalia wote hapa mna uwezo mkubwa sana na mnaweza kufanya makubwa katika shule zetu ila hamjaamua kujituma na sijui kwanini mnafanya hivyo sababu ninachojua mimi wakati wa kujituma kwenu ni sasa wakati mkiwa viongozi na si mkishatolewa,"amesema Dakawa

Aidha ameongeza kuwasihi kuendelea kufanya kazi kwa nguvu zote na kuacha alama kwa kuwa kazi wanazofanya zina mkono wa Mungu sababu wanawahudumia watoto ambao wanapaswa kuwakumbuka kwa mazuri wanayowafanyia na si mabaya.

"Nawaambieni hawa maafisa elimu wametokea hukohuko kwenye ualimu hakuna aliyezaliwa na kuwa afisa elimu ila wamefika hapo kwa ajili ya kujituma kufanya kazi na nidhamu kwa kuwa kufanya kazi kwa bidii siku zote kunalipa,"amesisitiza Mkurugenzi Dakawa

Hata hivyo amewataka kufanya kazi kwa kuunganisha walimu wanaowaongoza na kuacha tabia za kuwa miungu watu na ikitokea Mwalimu kakosea wamwite na kumueleza mapungufu yake ili asirudie makosa kinyume na kufanya hivyo watatengeneza makundi na kuleta migogoro katika taasisi.

"Baadhi yenu mnaletewa miradi mnashindwa kuisimamia hii siyo sawa kwa kuwa serikali inatoa fedha nyjngi, lakini mkumbuke nyie mna posho za madaraka hivyo zitumieni kwa kufanya kazi kwa kujituma lengo ni moja kuhakikisha Halmashauri yetu inafaulisha wanafunzi wote,"amesema Mkurugenzi Dakawa

Aidha ameendelea kuwataka kifanyakazi kwa kushirikiana na viongozi wa mitaa ili kuhakikisha wanakamilisha utengenezaji wa madawati ili kuhakikisha hadi ifikapo Januari 11 hakuna mwanafunzi anayekaa chini.

Akiongea awali Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya Mji Kondoa Mwalimu Hassan Mtamba amewaambia mabadiliko ya vituo vya kazi yaliyofanyika yametokea kwaajili ya kuboresha utendaji kazi na si vinginevyo.

"Mlioteuliwa mjue mna jukumu zito mbele yenu na mmepewa nafasi hizo kwa kuwa mmefanya vizuri na mmeonekana mnafaa hivyo ni wakati wenu kufanya kazi ili kumthibitishia aliyewateua kuwa mlistahili nafasi hizo,"amesisitiza Mwalimu Mtamba.


Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa