• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

Tarehe iliyowekwa: May 8th, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amewataka Wakuu wa Shule wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu katika shule zao kukamilisha miradi hiyo ifikapo Mei 31,2025.

Ametoa maagizo hayo wakati wa kikao kati yake na Wakuu wa Shule za Sekondari za Tura Day, Bicha, Dilai, Mto Bubu, Kolo, Serya na Bolisa.

"Miradi mingi ipo hatua za mwisho kabisa na vitu vichache kama milango ya vyooni, samani na marekebisho madogo madogo tuvifanyie kazi ili miradi ikamilike na kuanza kutumiwa kama ilivyokusudiwa",amesema Mkurugenzi Majaliwa

Ameongeza kwa kuwataka kuwa makini na matumizi ya fedha zilizotolewa kwa kuhakikisha miradi inakamilika kama ambavyo miradi kama hiyohiyo imekamilika kwa fedha zilizotolewa ndani ya Halmashauri.

Aidha amewapongeza kwa kusimamia miradi hiyo ambayo imetekelezwa kwa kiwango kizuri na kuwavutia wageni waliotembelea miradi hiyo hivyo waongeze bidii katika usimamizi ili ikamilike ifikapo Mei 31.

"Kwa kweli nimpongeze Mkuu wa Shule ya Mto Bubu anayesimamia ujenzi wa Shule ya Sekondari Suruke umejitahidi sana kusimamia kila kiongozi aliyefika pale amesifia majengo sasa tukamilishe maabara zilizobakia ikiwepo mradi wa Amali Kingale ambao pia ulisifiwa na wajumbe wa kamati ya ALAT mkoa wa Dodoma,"amesisitiza Mkurugenzi Majaliwa

Ameongeza kwa kuwataka kuhakikisha wanajikagua na kuweka vizuri nyaraka zote za malipo ya manunuzi, mafundi na nyaraka za utoaji vifaa katika stoo zao ili kuepusha upotevu wa nyaraka hizo wakati wa ukaguzi.

Hata hivyo amewataka miradi kukamilika ili kuanza kutekeleza miradi iliyopata fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa maabara ambapo wanatakiwa kukamilisha ujenzi wake kabla ya Juni 30,2025.

Shule za Sekondari Tura Day, Ula, Suruke, Amali Kingale, Bicha, Gubali, Dilai na Serya ambao walipatiwa fedha zaidi ya shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa, matundu ya vyoo na mabweni ikiwa ni fedha kutoka Serikali Kuu na wahisani na ipo ambapo mingine imekamilika na mingine ipo asilimia 98 za utekelezaji.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa