• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Nina imani nanyi kupata walengwa wenye sifa" - DC Makota

Tarehe iliyowekwa: April 19th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.Sezaria Makota amesema ana imani na waheshimiwa madiwani wa wilaya ya Kondoa kuwa wataenda kusimamia vizuri zoezi la uibuaji wa kaya maskini ili kupata kaya zenye sifa zinazotakiwa.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa kikao cha kujenga kuelewa wa mradinwanTASAF III awamu ya pili kilichofanyika katika ukumbi wa Kondoa Irangi hivi karibuni.

"Naomba nisisitize hapa Leo tumeshirikishwa wote kwa kupatiwa mafunzo ya uelewa wa kinachokwenda kutekelezwa hivyo msiende kuchagua walengwa kwa upendeleo na kujuana la mjue ikitokea lolote kinyume na utaratibu ni la wote," amesema Mhe. Makota

Aidha amewataka washiriki kuwa waadilifu wanapoenda kutekeleza mradi ili malengo yake yatimie na kuwasisitiza waheshimiwa madiwani kwenda kuwa mabalozi wa kuwahamasisha walengwa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili wapate huduma za afya wanapougua.

Akiongea awali mwakilishi wa Mkurugenzi wa TASAF Japhet Boaz amesema mradi huo umekuja kwasasa baada ya kufanya zoezi la uhakiki ambalo liliwaondoa walengwa wasio na sifa ikiwemo waliofariki na waliohama.

" Mradi huu kwasasa unaenda kutekelezwa katika Halmashauri zote Tanzania bara na katika mikoa yote ya Zanzibar katika vijiji na mitaa yote tofauti na awali ambapo baadhi ya vijiji na mitaa havikuwemo kwenye mpango," amesema Japhet

Ameendelea kueleza kuwa mradi pia umeboresha huduma na kuzisogeza karibu kwa jamii katika masuala ya elimu na afya katika makundi tofauti ya watu ambao ni wanaoishi katika hali duni, watoto chini ya miaka mitano, wajawazito na watu wenye ulemavu.

"Mradi pia utatoa ajira kwa walengwa kwa kufanya kazi katika miradi ya kijamii na kulipwa fedha lakini kubwa tujue kuwa watakaowaibua walengwa wasio na sifa watawajibishwa," amesisitiza Japhet

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa amesema kuwa wameyapokea yote yaliyowasilishwa na watayayekeleza na kuyasimamia kwa kuwa wao ndio waliopo kwenye jamii kwa manufaa ya wananchi wa Kondoa.

Kikao cha kujenga uelewa wa mradi wa TASAF III awamu ya pili kimefanyika kwa kuwakutanisha kamati ya ulinzi na usalama, waheshimiwa madiwani, wakuu wa Idara na vitengo wa Halmashauri za Mji Kondoa na Wilaya ya Kondoa ambapo utawafikia watu milioni saba katika Halmashauri zote za Tanzania bara.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa