• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yazungumza va vyama Kondoa kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa

Tarehe iliyowekwa: October 22nd, 2024

Viongozi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini wamekutana na viongozi wa vyama vya siasa vilivyopo Wilayani Kondoa kwa lengo la kutoa mafunzo mafupi na ya muhimu kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Mafunzo hayo yametolewa kwa Wenyeviti na Makatibu wa vyama ili kuwapatia elimu kuhusu masuala ya vitu vya kufanya, kuepuka na sheria mbalimbali zinazohusiana na masuala ya vyama vya siasa ikiwa ni pamoja na wajibu wa ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kwa vyama.

Akiongea katika mafunzo hayo mwakilishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Ndg. Peter Lyimo amesema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa vyama vinapaswa kuheshimu sheria, kanuni na miongozo mbalimbali ili kuufanya uchaguzi huo uwe wa amani na utulivu.

"Sisi leo tumeleta elimu hii kwenu viongozi tunaamini na nyie mtakwenda kuwapa wanachama wenu elimu hii ilinwawe na uelewa mpana sana kuhusu masuala ya kisiasa lwa kufuata sheria za nchi, katiba na kanuni mbalimbali na kuepuka kufanya mambo ambayo yataharibu sura ya chama husika,"amesema Ndg. Lyimo

Ameongeza kwa kuvitaka vyama vya siasa Kondoa kuhakikisha wanafuata utaratibu uliowekwa panapotokea ukiukwajibwa sheria kwenye masuala ya uchaguzi na kuwapatia wao taarifa ili kuboresha penye changamoto kwa pamoja kwa kuwa wao ni walezi wa vyama.

Akiongea katika mafunzo hayo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Sekela Mwasubila ameishukuru Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kuona umuhimu wa kuja kutoa mafunzo kwa vyama vya siasa Kondoa na kuvitaka vyama kuwa na amani wakati wote wa kipindi cha maandalizi ya uchaguzi kwa kuwa hakuna utaratibu, kanuni na sheria zitakazokiukwa.

Mafunzo hayo yamehudhuriwa na wawakilishi wa vyama vya siasa kutoka Chama Cha Mapinduzi, CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo na wawakilishi kutoka Ofisi ya Msajili ni Ndg.Peter Lyimo na Ndg. Aneja Mwakanyamale.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • RC, RAS, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Dodoma ziarani Mufindi kujifunza kilimo cha Tufaa (Apple)

    May 11, 2025
  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa