• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Serikali Dodoma yajidhatiti kuwalinda wazee

Tarehe iliyowekwa: October 2nd, 2020

Katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wazee Serikali imesema itaendelea kupambana na unyanyasaji wa Wazee nchini ikiwemo kudhibiti vitendo vya mauaji ya Wazee.

Hayo yamesemwa Wilayani Kondoa mkoani Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa  Siku ya Wazee kwa Mkoa huo.

Aidha Dkt. Jingu ameongeza kuwa Serikali inafanya jitihada za kuwatunza Wazee hasa wasiojiweza kwa kuboresha makazi ya Wazee yanayosimamiwa na Serikali.

"Jamii tumewasikia Wazee wetu ni jukumu letu kuwalinda wazee hawa wafurahie maisha na ni wajibu wetu tusiukimbie".

"Hawa wazee nao wakati wanatulea wangesema hawana muda na sisi tungekuwa wapi tungekuwa wakina nani tuwatunze wazee wetu" alisema  Dkt. John Jingu

Akitoa taarifa ya maboresho ya huduma za Wazee kwa ngazi ya Wizara Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng'ondi amesema Serikali imeendelea kuwatunza wazee wasiojiweza katika Makazi 13 yanayosimamiwa na Wizara kwa kuwapatia huduma stahiki kwao.

"Tunahudumia wazee 281 mpaka sasa katika Makao haya tunayoyahudumia kwa kuwapatia wazee huduma za Afya na huduma nyingine muhimu" alisema.

Naye Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Maduka Kessy amesema kuwa Mkoa wa Dodoma umeendelea na jitihada za kuwatunza Wazee kwa kuboresha huduma mbalimbali zikiwemo huduma za Afya na kuwaasa Jamii kuwajibika kuwatunza.

"Sisi tunaongoza kwa asilimia 25 ya kuwawezesha wazee kujiunga na huduma za Afya kwa kujiunga katika Bima ya Afya iliyoboreshwa ili kuwawezesha kupata huduma Bora" alisema Katibu Tawala Mkoa.

Ameongeza kuwa ingawa Serikali inawahudumia wazee  jukumu la kwanza ni kwa jamii kuhakikisha wanawahudumia wazee wao.

Tanzania imeungana na nchi nyingine ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wazee ikiongozwa na Kauli Mbiu isemayo: Familia na Jamii Tuwajibike Kuwatunza Wazee.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • "Sintamzibia ruhusa mtumishi anayetaka kwenda masomoni"- Mkurugenzi Majaliwa

    June 01, 2025
  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa