• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Serikali yatoa mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa somo la kiingereza darasa la tatu

Tarehe iliyowekwa: January 23rd, 2025

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, OR - TAMISEMI kwa kushirikiana na Programu ya Shule Bora chini ya ufadhili wa UNICEF imeanza Mafunzo ya somo la Kiingereza kwa walimu wa darasa la tatu kuanzia tarehe 23 - 25/01/2025 katika Kituo cha Mafunzo ya Walimu  Iboni  kwa ajili ya kuendelea kujenga uwezo kwa walimu katika ufundishaji wa somo hilo kwa kutumia mtaala ulioboreshwa.

Mafunzo hayo yamefunguliwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg.Said Majaliwa katika Kituo hicho cha  Iboni.

Akifungua mafunzo hayo, Mkurugenzi amewataka washiriki kuzingatia yote watakayofundishwa ili lengo la serikali la kuwawezesha kupata maarifa na mbinu bora za kufundishia na kujifunzia  lipate  kutimia

"Ninachokiomba kutoka kwenu ni kuhakikisha haya mafunzo yanatoa matokeo chanya  mnapoenda kuwafundisha wanafunzi kwa kila shule" amesema Mkurugenzi Majaliwa.

Aidha,  ametoa msisitizo kwa kila mshiriki kuzingatia maadili ya utumishi wa Umma katika kipindi chote cha mafunzo ikiwa ni pamoja na kudumisha nidhamu na ushirikiano.

Aidha, Mkurugenzi wa Halmashauri, amemshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha walimu  wanapata mafunzo ya  mara kwa mara ambayo ni muhimu kwa ajili kuboresha ufundishaji ili kujenga umahiri stahiki kwa kila mwanafunzi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa mafunzo hayo ya  walimu,  amemshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri kwa kufungua mafunzo na kuahidi kuwa washiriki  watajifunza kwa makini na kutumia ipasavyo ujuzi watakaupata kwa ajili ya kuboresha ufundishaji na ujifunzaji unaozingatia Elimu Jumuishi.

Mafunzo hayo yameandaliwa kwa lengo la kuwajengea uwezo walimu wa somo la "English" darasa la tatu kuhusiana na mtaala ulioboreshwa ambapo wawezeshaji ni watatu wakiwemo walimu mahiri wawili waliopata mafunzo ya kuwa wawezeshaji ngazi ya Halmashauri  na Mkufunzi mmoja kutoa Chuo cha Ualimu Bustani.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa