• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Ustawi wa Jamii
    • Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Shirikianeni watoro warudi shuleni"- Mkurugenzi Sweya

Tarehe iliyowekwa: March 9th, 2023

Maafisa Elimu Kata, Watendaji wa Kata na Mitaa na Wakuu wa Shule  katika Halmashauri a Mji Kondoa wametakiwa kufanya kazi kwa kushirikiana ili kuwapata wanafunzi ambao hawajaripoti shuleni kwa ajili ya kuanza masomo.

 Hayo yamesemwa  na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Paul Sweya wakati wa kikao cha pamoja na wataalam hao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Mji Kondoa hivi karibuni.

 “Mnatakiwa kufanya ufuatiliaji wa wanafunzi watoro sugu katika shule za sekondari kwa kuwa  wasipofuatiliwa sasa wanaweza kuja kujiingiza kwenye vitendo vya kihalifu na kusababisha uvunjifu wa amani.”amesema Mkurugenzi Sweya 

Aidha mewataka viongozi hao kufanya ufuatiliaji huo nyumba kwa nyumba na kuhakikisha wanapatikana na kwa wale ambao hawatapatikana wazazi wao wafikishwe kwenye vyombo vya kisheria hadi watoto wao wapatikane.

Aliendelea kuwakmbusha kusimamia ujenzi na utunzaji wa miundombinu iliyojengwa kwa fedha za Serikali ikiwa ni pamoja na utunzaji wa nyaraka zote za msingi za miradi husika.

 Akiongelea suala la utunzaji wa mazingira Mkurugenzi amewataka viongozi hao kuhakikisha wanapanda miti ya vivuli na matunda pamoja na kulima  mazao ya chakula katika maeneo ya shule na kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa jambo hilo kwenye vikao vya robo mwaka vya Halmashauri.

Mkurugenzi aliendelea kuwaeleza Watendaji wa Kata na Mitaa kuandaa mikutano ya wadau wa elimu katika kata zao na kuwasilisha katika Ofisi ya Mkurugenzi ratiba za mikutano hiyo ili kuona jinsi menejimenti itaweza kushiriki katika vikao hivyo.

Kikao cha viongozi ngazi ya kata na Mitaa kimefanyika kwa ajili ya kukumbusha masuala mbalimbali ikiwemo utoaji wa chakula shuleni, namna ya kukabiliana na utoto wa wanafunzi na jinsi ya kudhibiti matendo ya ulawiti, ushoga na usagaji katika shule za Msingi na Sekondari.

 

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya Katibu Muhtasi na Madereva Halmashauri ya Mji Kondoa February 24, 2023
  • Matokeo ya Kidato cha nne Shule za Halmashauri ya Mji Kondoa January 29, 2023
  • Waliochaguliwa na shule walizopangiwa kidato cha kwanza 2023 Kondoa Mji December 14, 2022
  • Tangazo la kazi December 07, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mhe. Rais, Ditopile watoa milioni 15 kwa Wanawake wa Vikoba Kondoa

    March 13, 2023
  • "Shirikianeni watoro warudi shuleni"- Mkurugenzi Sweya

    March 09, 2023
  • RC Senyamule aongoza Wanawake wa Dodoma kuadhimisha siku yao Duniani

    March 08, 2023
  • Madaktari bingwa wawashauri wananchi kuchunguza afya mapema

    March 05, 2023
  • Tazama Vyote

Video

Fursa za uwekezaji Kondoa Mji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa