• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Sintamzibia ruhusa mtumishi anayetaka kwenda masomoni"- Mkurugenzi Majaliwa

Tarehe iliyowekwa: June 1st, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amesema hatamzibia riziki ya kwenda masomoni mtumishi yoyote anayetaka kujiendeleza kwa kielimu  kwa kuzingatia taratibu  za kiutumishi kwa kuwa kila mtumishi ana ndoto yake kimaisha.

Kauli hiyo ameitoa akiwa mgeni rasmi wakati wa sherehe ya kuwapongeza  wahitimu  wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima kwa njia ya huria na masafa ambao hafla yao imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kondoa Irangi.

“Anayetaka kwenda kujiendeleza mlango wangu upo wazi lakini hapa mnielewe vizuri ukienda kujiendeleza ukirudi tegemea kuendelea palepale ili wanafunzi nao wapate kunufaika na kile ulichoenda kusomea maana ukisoma pia mshahara unaongezeka lakini utakuwa na faida hasa pale zinapotokea fursa mbalimbali”. amesema Mkurugenzi Majaliwa

Aidha, amewapongeza wahitimu waliomaliza kwa kuwa, wakati mwingine,  si jambo rahisi kwa mtumishi anayepokea mshahara kurudi shule, hivyo Mkurugenzi amewataka wakufunzi kuwafuatilia wanafunzi ambao hawajamaliza masomo yao ili wawasaidie kuendelea na masomo.

Hata hivyo, amewaelekeza Maafisa Elimu kupeleka mapendekezo ya shule ambazo zina vyumba vya madarasa vya ziada ili viweze kutumiwa na wanafunzi  hao wa Elimu ya Watu Wazima kwa ajili ya kutatua  changamoto yao ya kukosekana kwa vyumba  vyenye utulivu kwa ajili ya kusomea. Vile vile,  Mkurugenzi ameahidi kutenga fedha kupitia mapato ya ndani kwa ajili ya kuwajengea darasa.

Kwa upande wake Afisa Elimu ya Awali na Msingi Halmashauri ya Mji Kondoa Mwalimu Lucy Mbolu amewapongeza wahitimu na kuwahimiza kwenda kutumia elimu waliyoipata kuonyesha utofauti wa ufanisi  katika  utendaji kazi wao wa kabla na baada ya kuhitimu masomo.

Wahitimu wamewashukuru wakurugenzi wa Halmashauri hizo mbili, kwa kuwaruhusu kusoma, kufanya mitihani pamoja na mazoezi. Vile vile, wahitimu wamewashukuri viongozi wengine waliowatia moyo wa kusoma na kuwapa maelekezo mbalimbali ambayo yamewasaidia nao kuhitimu na kufikia ndoto zao na kuwaasa wenzao ambao hawana stashahada kujiendeleza kwa kutumia mfumo wa masafa.

Jumla ya wahitimu 61 wamehitimu kati ya wanafunzi 75 waliodahiliwa mwaka 2023 katika kituo cha walimu Iboni wakiwa ni walimu kutoka Halmashauri hizo mbili za wilaya ya Kondoa. Aidha, sherehe hiyo, pia imehudhuriwa na wakufunzi wa kituo hicho.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Sita Kondoa Girls 2025 July 07, 2025
  • Tangazo la kazi za muda June 28, 2025
  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Kondoa Mji yatoa motisha kwa watumishi waliofanya vizuri ukusanyaji wa mapato 2024/2025

    July 08, 2025
  • Kondoa Mji yatoa milioni 90 ya Mikopo ya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu awamu ya tatu

    July 01, 2025
  • Kondoa Mji watoa mafunzo kwa vikundi 16 vya mikopo awamu ya tatu

    June 24, 2025
  • Wataalam wa Kilimo na Mifugo Kondoa Mji watembelea Nanenane Jijini Dodoma

    June 24, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa