• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Soko kuu Kondoa Mjini kurejeshewa huduma ya maji

Tarehe iliyowekwa: February 15th, 2024

Soko kuu la Halmashauri ya Mji Kondoa kurejeshewa huduma ya maji iliyositishwa kwani kipindi kirefu kutokana na mabomba kuziba na kudaiwa bili za maji.

Kauli ya kurejeshewa huduma hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Dkt.Khamis Mkanachi alipotembelea sokoni hapo kwa ajili ya kuangalia changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa soko hilo.

"Nakuagiza Mhandisi wa maji Kondoa urejeshe huduma ya maji sokoni hapa lakini uwape kiasi cha fedha wanazodaiwa uongozi wa soko ili muweke kwa pamoja mikakati ya kulipa deni hilo na bili mpya zinazokuja watalipa wenyewe wanaotumia"amesema Dkt. Mkanachi

Aidha ameongezea kwa kumuagiza Mhandisi wa ujenzi Halmashauri ya Mji Kondoa kuhakikisha anayafanyiakazi maeneo yote yanayovuja kwa kuweka fundi atakayeziba maeneo hayo kwa ajili ya usalama wa mali za wafanyabiashara.

"Malalamiko yenu ya hela ya choo 300 kuwa kubwa siwezi kulisema hapa nitaenda kukaa na wataalam wa Halmashauri kuona ukitoa gharama za uendeshaji wa choo kama usafi na kumlipa msimamizi kuna fedha yoyote inabakia hivyo inaweza kupanda pia smtuwe tayari kwa majibu yoyote,"amesisitiza Dkt. Mkanachi

Awali wakiwasilisha changamoto sokoni hapo viongozi wa soko wamesema wanakabiliwa na changamoto ya maji, kuvuja kwa baadhi ya majengo na gharama kubwa za choo na uzoaji taka.

Akijibu changamoto hizo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Irene Mosha amesema Halmashauri imenunua trekta ambalo litaanza kazi ya uzoaji taka muda wote sokoni hapo na maeneo yanayovuja yatafanyiwa kazi kwani lwa mwaka jana Halmashauri ilitoa fedha zaidi ya shilingi milioni 20 kwa ajili ya ukarabati wa maeneo yanayovuja hivyo litafanyiwa kazi haraka iwezekananvyo.

Soko Kuu  la Halmashauri ya Mji Kondoa lipo katika kata ya Kondoa Mjini mbapo linatoa huduma kwa wananchi wa Kondoa Mjini na wilaya za jirani ambapo Mkuu wa Wilaya alitembelea kwaajili ya kusikiliza na kutatua kero za wafanyabiashara wa soko hilo.


Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa