• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TEA yakabidhi Shule ya Wasichana Kondoa kwa Halmashauri ya Mji

Tarehe iliyowekwa: June 20th, 2019

Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wamekabidhi rasmi majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasiichana Kondoa kwa uongozi wa Halmashauri ya Mji Kondoa baada ya kukamilisha ukarabati mkubwa.

Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi ya Mkuu wa Shule hiyo na kuhudhuriwa na wawakilishi kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji, Mamlaka ya Elimu Tanzania, Bodi ya Shule na uongozi wa shule.

Akikabidhi mradi huo Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Tija Ukondwa alisema kuwa mradi huo umefanikiwa kwa viwango vya hali ya juu kwasababu wasimamizi wa mradi waliweka tamaa nyuma na kutanguliza uzalendo hadi  wanakabidhi majengo hayo.

“Fedha hizi zimetolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania lakini ni kutokana na juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuhakikisha kuwa shule kongwe zinafanyiwa ukarabati hivyo ni jukumu lenu kuitunza shule hii ili itumike kwa kipindi kirefu.”Alisema Tija

Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kaunga Amani aliwashukuru TEA kwa kuichagua shule ya Wasichana Kondoa kwa kuwa shule zipo nyingi nchini ila wakaona shule hiyo inafaa katika awamu hii.

“Nichukue fursa hii kuwashukuru pia bodi ya shule kwa usimamizi mzuri maeneo mengine wengi wanaishia kuvunja bodi sababu ya maslahi ila hapa hatukuliona hilo, pia washauri wa mradi huo Chuo Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya walifanya kazi nzuri ya usimamizi kazi ambayo tunafanya nao kwa kipindi cha pili sasa.”Alisema Kaunga

Naye Mwenyekiti wa bodi ya Shule alisema ukarabati huo ulikuwa mgumu ila usimamizi ulikuwa mkali kuhakikisha malengo yanatimia na yametimia  kutokana na ushirikiano uliokuwepo kati ya uongozi wa shule na Halmashauri.

“Pongezi nyingi ziende kwa Mhe.Rais Dkt. John Magufuli kwa kutuwezesha shule yetu kukarabatiwa na leo lengo lake limetimia na katika kipindi chote hicho cha mradi ajira zilipatikana na mzunguko wa fedha uliongezeka tunashukuru sana ila tunaomba pia mtusaidie kisima cha maji na ukarabati wa nyumba za walimu ili kuzidi kuongeza hali ya ufaulu shuleni hapa.” Alisema

Matangazo

  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Kondoa Mji watoa mafunzo kwa vikundi 16 vya mikopo awamu ya tatu

    June 24, 2025
  • Wataalam wa Kilimo na Mifugo Kondoa Mji watembelea Nanenane Jijini Dodoma

    June 24, 2025
  • Watumishi watakiwa kuendelea kutoa elimu ya stakabadhi ghalani

    June 23, 2025
  • Baraza Maalum Kondoa Mji lapitisha Sheria ndogo kuimarisha vyanzo vya mapato

    June 20, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa