• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Tengeni 10% ya mapato kabla ya Matumizi - Dkt. Mahenge

Tarehe iliyowekwa: July 18th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ameitaka Halmashauri ya Mji Kondoa kutenga asilimia kumi ya kila mapato yake kabla ya matumizi kwa ajili ya kuwakopesha wanawake na vijana.

Aliyasema hayo wakati wa kikao cha baraza maalum la waheshimiwa madiwani kwa ajili ya kujadili hoja za Halmashauri ya Mji zilizojitokeza wakati wa ukaguzi uliofanywa na ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti wa fedha za Serikali kikao kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kondoa Irangi.

“Mpende msipende lazima mtenge fedha hizo na kwasasa tengeni kabla ya matumizi kulingana na mlichokusanya na asilimia tisini itumieni katika shughuli zingine.’Alisema Dkt. Mahenge

Aidha aliwasihi waheshimiwa madiwani kusimamia na kuhakikisha fedha hizi zinapatikana na kuwafikia walengwa ambao  ni wanawake na vijana ili waweze kujiajiri na kujiongezea kipato  chao.

Hata hivyo alimtaka Mkurugenzi kutotoa fedha kwa vikundi ambavyo havitambuliki  na kukosa mpango mkakati endelevu wa mradi wao na kuona kama una faida sababu fedha hizo zitatakiwa kurejeshwa.

“Kuna tabia fedha zikitolewa Mkurugenzi anasema nimeshatimiza wajibu wangu na kukaa pembeni watu wakishapata fedha wanagawana na kupotea moja kwa moja, ukitoa fedha zile ni zako zifuatilie,zisimamie na kushirikiana na wataalam wengine wasaidieni vikundi hadi zitoe faida.”Alisisitiza Dkt. Mahenge

Hata hivyo  aliwapongeza Halmashauri ya Mji Kondoa kwa kupata hati safi katika ukaguzi huo na kuwataka watendaji kuendelea kutimiza majukumu yao ya kila siku ili kupunguza hoja ambazo nyingi siyo nzito na uwezo wa kufanya hivyo sababu halmashauri hiyo ina viongozi na watendaji wachapakazi.

Baraza maalum la kupitia hoja za ukaguzi wa hesabu  kwa  mwaka  2016/2017 lilifanyika hivi karibuni na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa, Waheshimiwa madiwani na watendaji wa Halmashauri ya Mji Kondoa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa