• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TFS, Hifadhi ya Michoro Kolo wakabidhi madawati na saruji

Tarehe iliyowekwa: September 22nd, 2021

Wakala wa Misitu na Hifadhi ya Michoro ya Miambani  Kolo Kondoa wamekabidhi madawati 28 pamoja na mifuko ya saruji 40 kwa ajili ya kuboresha mradi wa ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari Kolo.

Makabidhiano hayo yamefanywa na Meneja wa Kituo cha michoro ya mapangoni Kolo Zuberi Mabie wakati wa mkutano wa Wananchi wa Mtaa wa Kolo B  yakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi  Halmashauri ya Mji Hassan Kiseto hivi karibuni.

“Tumefanya hivi  kwaajili ya kufanikisha mradi wa ujenzi wa maabara katika shule yetu ya Sekondari Kolo ili  kuwawezesha  wanafunzi kupata elimu bora kwa kuwa elimu ndio kila kitu na kuhakikisha tunadumisha  mahusiano mazuri kwa jamii inayotuzunguka,"amesema Meneja Zuberi

Kwa upande wake Kaimu Mkurungenzi Halmashauri ya Mji Kondoa Hassan Kiseto  amewashukuru wadau hao kwa mchango na jitihada walizozionyesha ili kuboresha elimu ya watoto na kukuza mahusiano mazuri  kwa jamii inayowazunguka.

“Hii ni ishara kwamba tunaheshimu mradi huu pamoja na hifadhi lakini pia ni sehemu ya ujirani mwema ili kuboresha  mahusiano yetu na  yaweze kuendelea vizuri, zaidi tunawaombea kwa Mungu  ili  roho yenu njema iweze kuendelea zaidi na zaidi,” amesisitiza Kaimu Mkurugenzi Kiseto.

Ameongeza kuwa wananchi hao wanapaswa kuona wao ni sehemu ya hifadhi hiyo hivyo wanapaswa kuheshimu sheria na taratibu zilizowekwa na iwapo kuna tofauti zilitokea awali kati yao kwa kuingia hifadhini waache mara moja kwa kuwa wote ni majirani.

Makabidhiano hayo yamefanyika  ikiwa ni sehemu ya jitihada za kukamilisha mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Kolo ambapo wamekabidhi meza 28 na viti 28 pamoja na mifuko ya saruji 40 na kuhudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi Mji  Kondoa Hassan Kiseto ,Afisa Elimu Sekondari, Afisa Mtendaji wa Kata  ya Kolo,Mkuu wa Shule ya Sekondari Kolo,viongozi wa Hifadhi ya Michoro Miambani na wananchi wa Mtaa wa Kolo B.



Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa