• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Timu ya ukaguzi wa miradi mkoa yaridhishwa na miradi ya Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: May 14th, 2024

Timu ya ukaguzi wa miradi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wameridhishwa na hatua za utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Halmashauri ya Mji Kondoa ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri wa namna bora ya utekelezaji wa miradi.

Hayo yamesemwa na kiongozi wa msafara huo Mhandisi Happinness Mgalula wakati wa kuhitimisha ziara ya ukaguzi wa miradi ndani ya Halmashauri ya Mji Kondoa iliyofanyika hivi karibuni.

“Ofisi ya Mkuu wa mkoa ina utaratibu wa kufanya ufuatiliaji na kufanya tathmini ya miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa katika halmashauri zake zipo timu mbalimbali katika halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kwenda kufanya ukaguzi na sisi tulipangiwa Kondoa Mji na tumefanya ukaguzi wa miradi kumi ya elimu, afya na utawala,”amesema Mhandisi Mgalula

Aidha amesema baada ya kupita katika miradi hiyo wanampongeza Mkurugenzi na timu ya Menejimenti kwa usimamizi mzuri wa miradi ambayo mingi inaendelea vizuri ambapo pia ameishauri menejimenti kuhakikisha miradi ambayo haijakamilika inakamilika kwa wakati na kutoa huduma iliyokusudiwa kwa wananchi.

“Jukumu pia la huu ufuatiliaji na tathmini hii ni kuangalia miradi inavyoendelea na kuwatia changamoto wenzetu wanaotekeleza huku ili kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na iendane na thamani ya fedha iliyotolewa na iweze kutumiwa na jamii na taasisi kwa wakati,”amesema Mhandisi Mgalula

Ameongeza kwa kushauri kuwa miradi ya ujenzi wa ofisi za mitaa Halmashauri ijitahidi kutenga fedha kwenye eneo moja ambapo mradi utakamilika badala ya kuweka fedha kidogo kwenye miradi mingi ambayo inakuwa haikamiliki jambo ambalo watendaji wamelichukua kwa ajili ya kulifanyia kazi.

Ameendelea kwa kueleza kuwa wamewashauri mafundi mbalimbali waliokutana nao katika miradi hiyo kuhakikisha wanazipenda kazi wanazozifanya ikiwa ni pamoja na kuwa wasafi kwa kuhakikisha wanajenga bila kuchafua rangi na sakafu bila kusafisha ili kazi ziwe katika ubora unaotakiwa.

“Kingine tunachokuja nacho ni kujifunza vitu mbalimbali ambapo kuna baadhi ya miradi tumewaomba wahandisi waandae BOQ za vifaa kwasababu tunataka kujifunza ni vifaa kiasi gani vinatakiwa kuandaliwa ili kumaliza mradi mfano wa bweni ili kama serikali tuweze kuboresha namna ya utekelezaji wa miradi hiyo,”amesisitiza Mhandisi Mgalula.

Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za utekelezaji wa miradi hiyo ambayo inakwenda kuigusa jamii moja kwa moja baada ya kukamilika kwake.

Kwa upande wake Kaimu Afisa Mipango wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Zubeda Sumbe amewashukuru kamati nzima kwa kutembelea miradi hiyo na kuahidi kuyafanyia kazi yote waliyoagiza na kukamilisha miradi kwa wakati.

Jumla ya miradi kumi ya sekta kutoka sekta ya afya, elimu na utawala imetembelewa na timu ya wataalam kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji na tathmini  ambapo pia waliongozana na wataalam kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa