• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"Tutumie stendi rasmi kuongeza uchumi wa Wanakondoa Mji"- Mkurugenzi Majaliwa

Tarehe iliyowekwa: September 5th, 2024

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amewakumbusha wamiliki wa magari ya kusafirisha abiria ndani na nje ya Halmashauri ya Mji Kondoa kutumia stendi rasmi zilizotengwa ili kukuza uchumi wa wananchi wote.

Ameyasema hayo ofisini kwake wakati wa mahojiano maalum na vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo matumizi ya stendi rasmi ndani ya Halmashauri.

“Mfano basi linalotoka Kingale ukiliruhusu lishushe abiria kila eneo linapotaka maana yake umebana fursa za bodaboda waliopo kwenye vituo vyao zaidi ya 50 ambapo abiria angeshushwa stendi hata bajaji angepata riziki”amesema Mkurugenzi Majaliwa

Aidha amesema anawashauri abiria na wamiliki wa mabasi ya kusafirisha abiria kutumia Stendi ya Bicha kwa kuwa Halmashauri imewekeza fedha zaidi ya shilingi milionikwa kujenga miundombinu rafiki kwa abiria na magari ikiwemo eneo la kupaki magari, choo na kibanda cha abiria kupumzika.

Aidha ameendelea kuwakumbusha wamiliki wa magari yaendayo barabara kuu ya Arusha-Dodoma kuhakikisha wanaingia katika stendi ya mabasi Bicha na kuacha tabia kupakia na kushusha abiria sehemu yoyote au katika stendi zisizo rasmi.

“Hapa mjini stendi rasmi ni tatu tu ambazo ni Stendi ya Mjini au Ubembeni, Srendi ya Bicha na Stendi ya Magereza ambayo imewekwa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wanaokwenda au kutoka Hospitali yetu ya Mji kupata matibabu kinyume na stendi hizo ni kuvunja utaratibu uliopo kisheria na wamiliki wanajua”amesisitiza Mkurugenzi Majaliwa.

Ameendelea kuongeza kuwa stendi ya Ubembeni haijafungwa na amemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Halmashauri ya Mji fedha kwa ajili ya ujenzi wa Stendi ya kisasa kupitia mradi wa TACTIC ambao unatarajia kuanza mapema mwaka 2025.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa