• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Uaminifu Wasisitizwa Zoezi la Utoaji Vyeti vya Kuzaliwa Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: March 12th, 2019

Watendaji wa kata na waganga wa zahanati na vituovya Afya wametakiwa kuwa waaminifu wakati wa kuendesha zoezi la utoaji wa vyetivya kuzaliwa kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano katika maeneo yao.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Halmashauri yaMji Kondoa Msoleni Dakawa alipokuwa akifungua mafunzo ya uandikishaji wa vyeti kwawatoto chini ya umri wa miaka mitano katika ukumbi wa Biashara Kondoa.

Alisema kuwa watendaji hao watapewa simu kwaajili ya usajili hivyo wazitumie kwa malengo yaliyokusudiwa na si vinginevyo naatakayebainika kuzitumia kinyume na malengo atachukuliwa hatua kali zakisheria.

“Nasisitiza uwajibikaji wakati wa utekelezaji wazoezi hili katika maeneo yenu na mkashirikiane na mkafanye vizuri kwa kufanyahivyo mtailetea sifa Halmashauri na wilaya nzima ikiwezekana tupate mradi huutena kwani mradi huu unatekelezwa kwa awamu.”Alisema Dakawa

Aliendelea kueleza kuwa wao kama watendajiwanapaswa kuhakikisha kuwa watoto wote waliolengwa wanapata vyeti vyao naisitokee mtendaji akasema kuwa ana kazi nyingi kwani wamepewa dhamana nawanaweza kufanya kazi zote.

“Najua mwanzoni mtakabiliwa na changamoto sababuvyeti vitajazwa kwa mkono na namba ya cheti (code number) ndiyo itakayoingizwakwenye mfumo hivyo muendelee kuwaelimisha wananchi na atakayeghushi atajulikanasababu namba yake haitakuwepo kwenye mfumo”. Alisisitiza Dakawa.

Hata hivyo aliwataka watendaji hao kuepukakuchukua rushwa kwani vyeti hivyo vitatolewa bure na kuahidi kumchukulia hatuaza kiutumishi yoyote ambaye atatengeneza mazingira ya kujipatia fedha.

Akishukuru baada ya ufunguzi Afisa Ustawi waJamii Japhari Kihemka alimshukuru Mkurugenzi na kumuhakikishia kuwawatayafanyia kazi maagizo yote ambapo katika Halmashauri ya Mji Kondoawamejiwekea malengo ya kuwafikia watoto 8000 na huduma hiyo itatolewa katikaVituo vya Afya, Zahanati na Ofisi za Kata

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa