• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Upendo Na Mshikamano Kuimarisha Utendaji Kazi

Tarehe iliyowekwa: March 13th, 2019

“Tufanye kazi kwa upendo, mshikamano na kwa kufuata sheria na taratibu za kiutumishi ili tusijekuachana njiani kwani lengo letu ni moja kuipandisha hadhi Halmashauri yetu ili siku moja iwe Manispaa”

Maneno hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mji Kondoa Msoleni Dakawa alipokuwa akiongea na watumishi wasaidizi wa Wakuu wa Idara katika ukumbi wa Biashara Kondoa mapema leo.

Alisema  kuwa ni wajibu wa kila mtumishi atimize majukumu yake kwani kila mtumishi ana nafasi yake na umuhimu katika taasis na kila moja ana haki yake katika utumishi hivyo ili kufikia malengo yake na hayo yanawezekana endapo wote wataepuka maneno na majungu kazini.

Aidha katika kikao hicho Mkurugenzi alielezea mafanikiao ya Halmashauri kwa kipindi cha miezi sita ikiwemo kutatua kero nyingi za wananchi na Watumishi.

“Kwa kipindi cha miezi sita tumefanikiwa katika maeneo mbalimbali ikiwemo kuongeza demokrasia kazini, kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato, kufanya vikao vya kisheria, kupata sheria zetu ndogo, kupata watumishi wapya, kutatua changamoto za maji kwa baadhi ya maeneo yaliyokuwa na changamoto.”Alisema Dakawa

Aliendelea kueleza kuwa kutokana na kuongezeka kwa mapato Halmashauri imeendelea kulipa madeni mbalimbali na ili kuendelea kujiimarisha zaidi wamebuni vyanzo vipya vya mapato na kuongeza njia za udhibiti wa vyanzo vya awali kwa kuweka mageti stendi na kuhakikisha kila mfanyabiashara analipa kodi anayostahili bila kujali cheo chake.

Aliendelea kusisitiza kutunza siri za ofisi na serikali na kuacha tabia ya kuzungumza mambo ya ofisini vijiweni kwani kuna wasemaji wa ili kulinda heshima ya taasisi na kuwashukuru wakuu wa Idara kwa kuonyesha ushirikiano katika utendaji kazi kila siku.

Wakiongea watumishi katika kikao hicho walipongeza mwenendo wa Halmashauri kwa kipindi hicho na kuelezea changamoto wanazokabiliana nazo katika utendaji wao wa kazi za  kila siku ikiwemo upungufu wa vitendea kazi, kukosa ushirikiano kutoka idara nyingine na kutopanda madaraja kwa baadhi ya watumishi.

Hata hivyo Mkurugenzi alihitimisha kwa kujibu changamoto za watumishi kwa kusema kuwa halmashauri itaendelea kununua vitendea kazi ili kuhakikisha kazi hazisimami na kuongeza kuwa suala la upandaji wa madaraja unafanyika kwa kulingana na bajeti ambapo kwa kipindi cha miezi sita zaidi ya watumishi 300 wamepandishwa na zoezi ni endelevu na kuwahakikishia kuwa kila  mtumishi anayestahili kupanda daraja atapanda.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa