• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ushirikiano Kupunguza Ukatili wa Kijinsia Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: April 1st, 2019

Jamii imeshauriwa kushirikiana kwa umoja wao ili kupunguza tatizo la ukatili wa kijinsia katika jamii ya wananchi wa Kondoa.

Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Msoleni Dakawa alipokuwa akifungua semina ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Uuguzi Kondoa hivi karibuni.

Alisema kuwa watoto wamekuwa wakifanyiwa ukatili wa kiwango cha juu na kesi nyingi haziendi mbele sababu nyingi humalizwa kifamilia jambo ambalo si sawa kwani mtoto  anakuwa ameshaharibiwa.

“Mtoto akishazoeshwa michezo ya ukatili wa kingono tunazalisha kizazi cha mashoga na ukifuatilia chanzo cha tatizo ni shuleni hivyo tusipounganisha nguvu zetu pamoja kizazi chetu kwa asilimia kubwa kitakuwa cha mashoga ni jukumu letu kuhakikisha hili linadhibitiwa mapema kabla ya kuleta athari kubwa kwa jamii.”Alisema Dakawa

Aliongeza kuwa ukatili wa kingono huathiri jamii kwa kiasi kikubwa kwani wengi waliojiingiza katika masuala ya ushoga hushindwa kuzalisha na kujiingizia kipato ili kujikwamua kiuchumi na ndio maana serikali inapinga suala hili la ushoga kwa nguvu zote.

Hata hivyo alisema kuwa ukatili wa kijinsia huanzia kwa asilimia kubwa katika malezi kwani kuna watoto ambao hufanyiwa ukatili wanashindwa kuwashirikisha wazazi kutokana na ukali wa wazazi hivyo kupelekea tatizo kuwa kubwa na kumuathiri mtoto.

“Lazima tuweke utaratibu wa kutoa elimu ya makuzi ya vijana na ndio maana shuleni tumeweka walimu wanaoshughulikia matatizo ya watoto wa kike na kiume na kutenga sehemu maalum kwa ajili ya watoto wa kike kujistiri na yote yanafanyika ili kupambana na ukatili wa kijinsia nchini.”Alisisitiza Dakawa

Kwa upande wake Mratibu wa Ukimwi Idara ya Afya Revocatus Shigi aliwataka washiriki kuanza kuonyesha mabadiliko wao kwanza ili kuiokoa jamii nzima kutokana na mafunzo na mbinu watakazozipata za jinsi ya kuwasaidia wahanga wa matukio ya ukatili wa kijinsia.

Semina ya ukatili wa kijinsia imefanyika kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo wataalamu wa Idara ya Afya, Polisi, Watendaji wa Kata na Mitaa, Walimu, mahakama, na wataalamu kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa