• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Viwanja 14,000 kupimwa Kondoa Mji

Tarehe iliyowekwa: April 16th, 2024

Viwanja 14,000 vya wananchi wa  Halmashauri ya Mji Kondoa vinatarajiwa kupimwa na kupewa hati baada ya Benki ya Dunia kutoa fedha kupitia Wizara ya ardhi kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi lengo likiwa ni kuhakikisha mji wote unapangwa kwa kipindi cha miezi sita.

Hayo yamesemwa na kiongozi wa wataalam kutoka Wizara ya Ardhi Ndg. Paul Kitosi wakati wa kutambulisha mradi huo mbele ya wajumbe wa kamati ya Mipango Miji na Mazingira hivi karibuni.

"Kondoa Mji mna bahati sana kwani mradi huu unatekelezwa katika halmashauri 41 tu za mjini na halmashauri 60 za vijijini na utatekelezwa katika kata 7 za Kondoa Mji na hiyo moja iliyobakia tutaona uwezekano wa kisheria tuweze kuimalizia ili zoezi lifanyike katika kata zote 8 na zoezi likikamilika halmashauri isiwe na makazi holela,"amesema Paul

Aidha amesema serikali itapima na kugawa hati kwa wananchi na haitachukua hata kiwanja kimoja kutoka kwa wananchi zoezi kwani utekelezaji wa zoezi hili ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2025 ukurasa wa 119 hadi 121 ambapo Wizara ya ardhi imepangiwa  kusajili hati mjini milioni 2.5.

Kwa upande wake Ndg.Awadhi Salum  amesema mbali na kupimiwa viwanja pia Halmashauri itanufaika na kujengewa ofisi ya ardhi ya wilaya na kufungwa mifumo ya kisasa ambayo ambayo itasaidia kuondoa changamoto ya kupima eneo moja mara 2 na kupunguza muda wa kufuatilia hati.

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango Miji na Mazingira Mhe. Issa Kambi amewakaribisha wataalam hao kwa kusema kuwa utekelezaji wa mradi huo utasaidia kuyapanga maeneo na kutatua changamoto ya ufuatiliaji wa hati kwa kipindi kirefu.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ngd. Said Majaliwa ameishukuru serikali kuleta mradi huo na kuwataka wananchi kutumia fusra hiyo kupimiwa maeneo yao na kumilikishwa kisheria.

Mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi utatekelezwa katika halmashauri 41za mijini na 60 za wilaya ambapo jumla ya hati miliki milioni 1.5 na leseni za makazi laki 5 zitatolewa kwa kipindi cha miaka mitano ambapo pia watafanya uhamasishaji katika ngazi zote kabla ya kuanza utekelezaji.



Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa