• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Waendesha 'bodaboda' Kondoa Mji kurasimishwa

Tarehe iliyowekwa: October 7th, 2019

Ofisi ya mbunge kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Ofisi ya Mkurugenzi wanatarajia kuwarasimisha waendesha pikipiki ndani ya Halmashauri ya Mji Kondoa ili kazi hiyo itambulike na kuthaminiwa kama kazi zingine.

Hayo yalisemwa na mbunge wa Kondoa Mjini Mhe. Edwin Sannda alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara kwa ajili ya kusikiliza kero za waendesha pikipiki uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya Zamani Kondoa Mjini hivi karibuni.

“Tunataka kuwasaidia mtambulike ili mpate mafunzo kwa kusirikiana na  wadau wengine ambayo yatawasaidia kupata vyeti na mwisho leseni ambapo hadi sasa wengi wenu hawana ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya usalama barabarani ili kuepusha ajali zinazotokea kwasasa,”alisema Mhe. Sannda

Aliendelea kueleza kuwa watawasaidia pia kuwaandalia mikataba itakayokuwa na faida kati ya mmiliki na dereva wa pikipiki na kuepusha hali ya kumnyonya mmojawapo kwa kuwa hiyo nayo ni kazi kama kazi zingine ikiwa ni pamoja na kuwaandalia katiba ya umoja wao.

“Msikubali kuonewa katika kazi yenu mtumishi akipanda pikipiki yako na hajakulipa toa taarifa katika vyombo husika ikishindikana mlete katika ofisi yangu mjiamini katika kazi yenu asiwepo wa kuwaonea,”alisisitiza Mhe. Sannda akijibu swali la mmoja wa wananchi.

Kwa upande wake Afisa Usalama barabarani Inspekta Haule aliwataka waendesha pikipiki kuzingatia kanuni na taratibu za usalama barabarani ili kuepukana na kupigwa faini za mara kwa mara na kwa usalama wa maisha yao.

“Niwaombe sana wazazi tukae na vijana wetu na kuwafundisha maadili na hatutasita kumchukulia hatua za kisheria mtu yote anayekiuka sheria za barabarani tunataka watu wote tuwe salama hivyo tutii sheria bila shuruti,”alisisitiza Inspekta Haule

Zoezi la urasimishaji pikipiki utaanza kwa kata tatu za Kondoa Mjini, Chemchem na Kilimani ambapo viongozi wa mpito wa waendesha pikipiki alipewa fomu za kuorodhesha pikipiki za kila kijiwe kwa muda wa wiki moja kabla ya kuanza kwa zoezi la kuwarasimisha.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa