• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wahe.Madiwani Waaswa kusimamia nidhamu

Tarehe iliyowekwa: August 1st, 2021

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge amewaasa waheshimiwa madiwani kuendelea kusimamia  nidhamu katika kutekeleza shughuli za kuwaletea wananchi maendeleo.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa mkutano wa baraza la waheshimiwa madiwani kwa ajili ya kujadili taarifa za robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2020/2021 uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri hivi karibuni.

"Bila nidhamu hakuna maendeleo na ndio maana nawaomba muendelee kusimamia suala la nidhamu katika maeneo yenu ya kazi kila mtu akitimiza wajibu wake katika hili hakika tutafanikiwa"amesisitza Mhe. Mwenyekiti.

Ameendelea kuishukuru kamati ya ulinzi na usalama kwa kuhakikisha kuwa Kondoa Mji inakuwa shwari na watu wake wanaishi kwa amani bila hofu wakati wanatekeleza shughuli zao za kimaendeleo.

"Kuna mambo mengi yanaendelea lakini hamchoki mnafanya muwezalo kuhakikisha kuwa Halmashauri yetu inakuwa salama na mnasimamia ipasavyo nidhamu ya vijana wetu ambao ni nguvu kazi ya Mji wetu na taifa kwa ujumla,"ameongeza Mhe.Mwenyekiti.

Akiongea Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Dkt. Khamis Mkanachi  amewashukuru wote walioshiriki katika mwenge wa uhuru na kuwaomba kuendelea kushirikiana na kujitoa katika masuala mengine kwa maslahi ya Kondoa nzima.

"Nimefarijika kuona umoja wenu jinsi mnavyojitoa katika mambo makubwa kama haya niwaombe tu muendelee kushikamana na kusaidiana katika mambo yote yenye manufaa kwa nchi yetu" amesisitiza Dkt. Mkanachi.

Mkutano wa baraza la waheshimiwa madiwani kwa ajili ya kujadili taarifa za robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2020/2021 umefanyika na kuhudhuriwa na Mkuu Wilaya, Kamati ya ulinzi na usalama, Wakuu wa Idara na vitengo, waandishi wa habari pamoja na wananchi.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa