• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wakuu wa Idara watakiwa kusimamia miradi

Tarehe iliyowekwa: January 31st, 2024

Wakuu wa Idara Halmashauri ya Mji Kondoa wametakiwa kusimamia miradi inayotekelezwa chini ya idara zao ili itekelezwe kwa ubora na wakati kwa lengo la kufanya kazi zilizokusudiwa.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Halmsahauri ya Mj Kondoa Mhe. Mohamed Kiberenge wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya Kamati ya Fedha na Utawala robo ya pili mwaka 2023/2024 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kondoa.

“Kila mmoja akisimama kwenye miradi yake tutaepukana na mengi ikiwemo madeni yanayotokana na miradi inayotekelezwa na mkiwa makini hakuna kitakachoharibika kwani mtakuwa karibu na miradi yenu,”amesema Mhe. Kiberenge

Aidha kamati imeagiza kukamilika kwa marekebisho yanayofanyika katika majengo yaliyojengwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kondoa ili majengo hayo yaanze kutoa huduma kusudiwa kwa wananchi na kupongeza kwa marekebisho yaliyofanyika.

Hata hivyo wakati wa ziara hiyo kamati imepokea taarifa za miradi mbalimbali iliyotembelewa na kuwasisitiza wasimamizi wa miradi hiyo kutunza nyaraka za miradi yao ili kuwa na kumbukumbu sahihi za miradi hiyo.

“Serikali imeleta fedha nyingi za kutekeleza miradi tuitekeleze kwa uaminifu mkubwa na tuepuke miradi hii kuzalisha hoja za ukaguzi taratibu za muhimu zinazotakiwa kufuatwa zifuatwe mwakani tusione hoja za Mkaguzi Mkuu kwani ni aibu kwa Halmashauri na tukiamua tunaweza,”amesisitiza Mhe. Kiberenge.

Wameongeza kwa kuwasisitiza wakuu wa shule kushirikiana na ofisi za watendaji wa Mitaa na Kata kuhakikisha wanaendelea kuwahamasisha wazazi kuchangia chakula cha wanafunzi kwa kuwaeleza umuhimu wa chakula kwa mwanafunzi wakati wa kujifunza.

Akiongea kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Paul Sweya amewashukuru Waheshimiwa Madiwani kwa kuwa jicho katika miradi kwani kwa kufanya hivyo kunawasaidia kuona wanapokosea na kurekebisha mapema ikiwa ni pamoja na kuahidi kuyafanyia kazi mapungufu yote waliyoyaona.

Ziara ya kamati ya fedha imetembelea miradi inayotekelezwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambayo imekamilika na ambayo inaendelea na utekelezaji ikiwemo mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi, ukarabati shule ya Msingi Kondoa, umaliziaji madarasa Mtobubu Sekondari, ujenzi wa majengo Hospitali ya Mji, ujenzi wa madarasa shule ya Wasichana Kondoa, ukaguzi wa zana za kujifunzia Shule ya Msingi Kichangani na Migungani ambapo pia waliongozana na Wakuu wa Idara.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Wasira aelezea faida za Muungano kwa wananchi wa Kondoa

    April 26, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa