• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Walimu Tutumie Fursa Ya Makao Makuu Kuwa Dodoma

Tarehe iliyowekwa: April 13th, 2018

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Khalifa Kondo amewataka walimu kutumia fursa ya Mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu ya nchi ili kuinua ufaulu wa wanafunzi wilaya ya Kondoa.

Hayo ameyasema katika kikao cha kujadili hali ya ufaulu na jinsi ya kuinua elimu ndani ya halmashauri kilichofanyika katika Shule ya Sekondari Kwapakacha hivi karibuni.

“Haiwezekani halmashauri kutoka kilomita elfu moja kutoka makao makuu wanaongoza sisi kilomita mia tukashindwa na sasa nchi ipo Dodoma fursa zote za kuonana na viongozi wa elimu na wanaotoa miongozo, kutafsiri sera zipo tunashindwaje kuinua elimu kuanzia sasa hatukubali kushindwa.”alisema Kondo

Aliongeza kuwa walimu wanapaswa kushindana katika ubunifu wa kupandisha elimu wakati halmashauri inaona jinsi ya kuwapatia motisha walimu watakaofaulisha vizuri ikiwa ni pamoja kutatua matatizo yanayowakabili.

Aidha amewataka walimu hao kupitia kikao hicho muhimu kujadili  umuhimu wa kuinua elimu wilayani  na kuwataka  kutimiza wajibu wao  wa  kimsingi kabla ya kudai haki zao na baada ya kikao hicho walimu watakaoshindwa kutimiza majukumu yao hatua zitachukuliwa dhidi yao.

Kwa upande wake Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Mji akiwasomea sababu za wanafunzi kutofanya vizuri zilizotolewa na wasahihishaji wa mitihani kitaifa alisema walimu wanachangia kutofaulu wanafunzi ikiwemo sababu ambazo zinatokana na wanafunzi wenyewe hivyo ufaulu unategemea jitihada za mwalimu na mwanafunzi.

Akitaja baadhi ya sababu hizo ni pamoja na utoro wa walimu, walimu kutokuwa na malengo ya ufundishaji, walimu kuwakatisha tamaa wanafunzi kusoma baadhi ya masomo, uchache wa walimu wa sayansi, wanafunzi kutokuwa na mazoea ya kujisomea baada ya muda wa masomo na mmomonyoko wa maadili ya wanafunzi.

Kikao cha kujadili mikakati ya kuinua elimu katika shule za sekondari Halmashauri ya Mji Kondoa kimefanyika kwa kuwakutanisha wakuu wa Idara za masomo na wawakilishi wa walimu kutoka shule zote wanaofundisha darasani ili kuona changamoto na jinsi ya kuzikabili ili kuinua kiwango cha elimu wilayani.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Baraza la Madiwani lajivunia mafanikio kipindi cha miaka mitano

    April 30, 2025
  • Baraza la kazi robo ya tatu lafanyika Kondoa Mji Ushirikiano ukisisitizwa

    April 29, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa