• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wamshukuru Mhe. Rais kuwajengea kituo cha Afya Serya

Tarehe iliyowekwa: September 29th, 2022

Wananchi wa kata ya Serya Halmashauri ya Mji Kondoa wamemshukuru Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea  kituo cha Afya kutokana na fedha za tozo za miamala ya simu ambapo kwasasa wanapata huduma katika kituo hicho.

Shukrani hizo wamezitoa wakati wa mahojiano yao na Afisa Habari alipotembelea katika kituo hicho kuona huduma zinazotolewa atika kituo hicho hivi karibuni.

“Kabla ya kujengwa kwa kituo hiki wakinamama wajawazito walikuwa wakipata changamoto kubwa wakati wa kujifungua hasa wakati wa masika mto Bubu ukijaa hawezi kuvuka kwenda kupata huduma Kondoa Mjini na wengine wamepoteza maisha kwa kweli hali ilikuwa mbaya,”amesema Anna Uruwa Mtendaji wa Mtaa wa Mongoroma kilipojengwa kituo hicho.

Ameongeza kwa kusema kuwa baada ya kujengewa kituo hicho wajawazito kwasasa hawapati shida kama awali kwani wanapata huduma zote katika kituo hicho hali ambayo pia imewasaidia kufanya shughuli zingine za kujiongezea kipato kwa kuwa huduma imesogezwa kwa karibu.

Kwa upande wake Bwana amesema pamoja na kupatikana kwa kituo hicho wanaomba kujengewa wodi ya wanaume na wanawake ili inapotokea mgonjwa anatakiwa kulazwa alazwe katika kituo hicho ikiwa ni pamoja na kuletewa wataalam wa afya wa kutosha.

Akizungumza awali Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Kondoa Dkt. Sisty Mosha amesema huduma zitakazotolewa  katika kituo hicho ni huduma ya mama na mtoto, huduma za macho, huduma za upasuaji mdogo, kliniki za mama na mtoto, wagonjwa wa nje na huduma meno.

Kituo cha Afya Serya kimejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 500 fedha zilizoletwa kutoka serikali kuu na zimetokana na tozo za miamala ya simu ambapo majengo yaliyokamilika mpaka sasa ni jengo la wagonjwa wa nje, jengo la mama na mtoto, maabara, jengo la kufulia na kichomea taka na huduma zimeanza katika kituo hicho.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • "Vitengo vya Mawasiliano Serikalini viimarishwe"

    May 24, 2025
  • Maafisa Habari hakikisheni wananchi wanapata habari sahihi

    May 23, 2025
  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa